Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Kwahiyo unasema ulichat nae muda tu ila hukujua yupoje.Yes,i always do that!Lecture yangu ya kwanza,nakumbuka dr Othman aliweka maji kwenye glass,ikajaa!Kisha akamwaga maji nusu chini,kisha akaweka swali!Nalo lilikuwa hivi÷
Is the glass:
1.Half filled
2.Half empty
Usiwe pessimistic,sijui hata ambacho hujaelewa ni nini!Kwahiyo kama kuna wakati alikuwa hana make up,mimi ningejuaje?Mtu tunachat insta,sasa hapo akiwa hana make up au anayo mi najuaje?Daaah
Na wakati unakutana nae Dm hukujua kama ile ni filter?
Mbona filter inaonekana hata kwa muoni hafifu?
Mbona Linnah umemjua, iweje huyo Mwajuma Ndalandefu hukumjua?
Acheni ubabaishaji...
Kuna maisha nje ya Jf.
Sio kila kitu mpaka maisha yako nje ya keybord unayaanika humu.
Kukua sio mwili tu, na akili pia ikue