Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Kwani kukutana lazima apate hela yeye Hana ? Au hapo amefikaje? Acheni kutuonea asee kuwa kila tukikutana lazma upewe posho kwenye hicho kikao
Mie nakuuliza kabla sijatoka home...utanipa nauli.
Kama hutaki kunipa nakaa kwetu.
Kwanilazima?
 
Halafu sijasema natafuta wanawake warembo,ni kwamba hili ni tukio ambalo limetokea tu nikakuta ndivyo sivyo!Isionekana its my mission kutafuta wanawake wazuri,hell no!U got it all wrong!
Asa mbona ulimkimbia?
Yule ni mwanamke...na vile ndo alivyo.
Ungetaka zaidi ya pale, ungeendelea kupekua page zingine
 
Yaani jukwaa la hovyo siku zote.
Afu wanajiita wana busara.

Wangekuwa na busara wangekuja kuanika mwisho wao wa kufikiri hapa?
Unajisifu kabisa eti nenda kaone mada nilizoanzisha Jukwaa la siasa.
Mie nilijua jukwaa la dini

Aisee,kuna wengine wanaona wenzao wamefika mwisho wa kufikiri,kumbe wao ndio walipoishia!
 
Aisee,kuna wengine wanaona wenzao wamefika mwisho wa kufikiri,kumbe wao ndio walipoishia!
Sio tulipoishia.
Tunasoma kitamu mpaka palipoandikwa mwisho.

Na ndio maana kuna baadhi ya vitamu, mwishoni **** references.
Na vingine vina chapter na vingine havina.
Fikiri nje ya box...!!!
 
Well sikupenda kuwa trapped!Thats what she did!
Wewe umesema ulichat nae kwa muda.
Ina maana kwa muda wote huo alikuwa na make up 24/7.

Na siku mkuwa in trapped mje kutuambia pia
 
yeah mi nawaitaga reserved TANK nikibanwa sanaaaaa ile sanaaaa iwe kipesa,kimapenzi,ki kila kitu hua natumiaga Reserved tank...mana unaeza pata tatzo halaf ukajikuta uko peke ako ila Hawa ktk huo upande wa kuhakikisha hupat shda wako Vizuri ndio mana Sikosi reserved Tank hata m.1 tu sio mbaya.
Eti Reserved tank[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Wengi hawaelewi kuwa u rafiki ni zaidi ya sura, hafu wakikutana na kulalana mahusiano hayadumu kabisa
Ninachoshindwa kuwaelewa vijana, kwa nini umkimbie mtu? Kisa sura? umbo? rangi? Nini hasa kinachokufanya umkimbie mtu.

Ni tabia mbaya, hasa kwa wale wanaopendelea kukutana mitandaoni. Hivi hawajui tu, sio kila date inaishia kuvuana, mnaweza kubaki marafiki tu, kama hisia zinawamaliza basi kata mawasiliano, lakini sio kumkimbia mtu.
 
Yaani jukwaa la hovyo siku zote.
Afu wanajiita wana busara.

Wangekuwa na busara wangekuja kuanika mwisho wao wa kufikiri hapa?
Unajisifu kabisa eti nenda kaone mada nilizoanzisha Jukwaa la siasa.
Mie nilijua jukwaa la dini
Upuuzi mwingi umejaa kule wanaume wazima kubishana vtu vya kijinga, hafu wanakuja na I'd tofauti kutaka number then baadae watangaze flani yuko hivi na hivi
 
Ndio maana hatutaki vitoto kama huyu mtoa mada.
Sie semi-trela tunavutwa na wazito
ha ha ha haaaaaaaaaa
kweli lazima mvutwe na trela! Daaah mdude huo mpaka upekenyue kufikia papuchi ushatokwa jachoooo😀😀😀
 
Mie nakuuliza kabla sijatoka home...utanipa nauli.
Kama hutaki kunipa nakaa kwetu.
Kwanilazima?
Ahh inategemea Hadi mnakubaliana kukutana mlikuwa katika Hali zipi na motives zenu zilikwaje, mambo ya posho kila mkutanapo ni changamoto pia
 
Upuuzi mwingi umejaa kule wanaume wazima kubishana vtu vya kijinga, hafu wanakuja na I'd tofauti kutaka number then baadae watangaze flani yuko hivi na hivi
Na hiyo ndio tabia yao.
Kama kweli wao wanajiamini, waje na real Id zao.
Wanajificha nyuma ya kivuli cha Siasa.
Sitaki kuamini..!!!
 
Back
Top Bottom