Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Afu mpwa huyo unaebishana nae ni mwana UD.
Ni below 23.
Kayajulia mapenzi ukubwani.
Utajichosha mpwa.

Wamekariri mwanamke mzuri ni mwembamba na kama mnene awe na chura
Nimeona mpwa, napoteza nguvu za vidole bure tu.
 
Aiseee,umekosea sana!Basi tu hii ni JF na baadhi yetu humu tushatoa mada ambazo hatuwezi kureveal identity zetu!Jaribu tu kucheki threads ambazo nimewahi kuandika humu toka 2015 kwenye jukwaa la siasa!Huku wengine tunapunguza stress and hv fun!Japo tukio la jana ni kweli na lilinikera!
Afu asikudanganye mtu kuwa kipimo cha uwerevu na hekima ni kuanzisha thread jukwaa la siasa.
Jukwaa la siasa kuna vilaza na viazi.
Wengi mnajificha kule ili muonekane mna hekima na busara.
Kumbe hamjui kule ni kama kichaka, kuna majoka na kenge, wadudu na wanyama.
 
Nimesema, huna sababu ya kumkimbia mtu kisa tu hana quality unazotaka. Kula, kunywa na lipia bill then agana nae kwa uzuri tu. Kama huoni anakufaa usimualike tena, ila kama unamuona anafaa kwa urafiki, set another date.

Tatizo vijana wetu nyie, mnataka siku mkikutana mle, mlewe, muende lodge na kufanyana. Ndio maana mahusiano yetu siku hizi ni mtihani.
Wengi hawaelewi kuwa u rafiki ni zaidi ya sura, hafu wakikutana na kulalana mahusiano hayadumu kabisa
 
Well kama hujaelewa vizuri ni kuwa nilikaa naye kwa 15 minutes,nikamuwekea order ya chakula na kinywaji nikalipa na kuondoka bila kumuonesha kuwa nimemkimbia!Nadhani aliamini nimepata dharura!Iko hivyo!
So childish hyo behavior na wewe u natafta mtandaoni kwa tamaa uwe unaenda ambiance
 
Afu usisahau wale wanaume wanaoomba kidate na mwana jf kumbe kazi yake kwenda kukuuliza flani na flani wanafananaje!!
Wana miili kama majeneza au wana matumbo kama mifuko ya mbolea...

Wanaume wa humu Jf mkome huo mchezo
[emoji23] [emoji23]
 
So childish hyo behavior na wewe u natafta mtandaoni kwa tamaa uwe unaenda ambiance
Sijasema nilikuwa natafuta,nilikutana na picha zake tu bahati mbaya nikamDM!
Ambiance si palishafungwa au??
 
Basi usije lalama hapa.
Ukitaka wanawake wazuri, nenda direct kwa page za warembo huko insta au fb.
Mbona zipo.

Wewe unachofanya ni sawa na kutafuta bikra wodi ya wazazi wakati si sehemu yake
Nadhani hili ni jukwaa la MMU kama sijakosea!
 
Ni wewe na upeo wako.
Kila mtu na chaguo lake.
Hao wenyewe unaosema wewe, wakifika lwa mwingine ni minuko tu
Hamna mwanamke bonge wala mwembamba inategemea kila mtu na size yake..kama unajiona chembamba Tafuta chembamba mwenzio,kama unajiona bonge basi unachuku bonge mwenzako its a matter of preference kila mtu na kile kimpendezacho.
Kupondea bonge au kupondea mwembamba jua huyo si chaguo lako Mwenye mali yake akija anamkubali hvyo hvyo na uwembamba wake au ubonge wake..Tuache kimbilia vya wakubwa sazingine.
 
Back
Top Bottom