Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana hatutaki vitoto kama huyu mtoa mada.Duuuuuh huu mzigo ni D8 or D9😀😀😀😀😀 Ukikulalia kwa bahati mbaya mpaka utoke tayari ushakuwa mtu wa kuimbiwa parapanda😛😛😛
Thubutu.Show lakini muhimi kila tukikutana
usiogope,ndio ujikaze kufikia 2030 mtu mrefu atakua aKIJITAHD SANA bas kawa kama JOTI...Warefu ndo haooooo tunaishilia nyie msiwahi ticket ngojeni ziisheHii avatat yako inanitisha na siwajui wanaume ni akina nani kwa ufupi
Siwezi kuwa sample yako wakati nina wangu.Utafiti unapingwa kwa utafiti au sio!Sasa naomba uwe sample space yangu!Ila sio ukanunue pafyumu za maiti!!!!
Jikazeni sio kwa ubaya lakini.Mabonge + sura ngumu distance relation ndo znawafaaa,mambo yakuongozana NOP otherwise wote tuwe Ngumu kumeza
Utajua hapohapo tukikutana.D
Daah,sasa tunakutana kufanya nini sasa?Au wewe TRA unakuja kukusanya mapato?
Hebu usinikaushe uzazi.Sasa mbona walalama kuwa mabonge mtachukuliwa na nani?Kumbe kuna watu ugonjwa wao vibonge
Utawapata hao mamburula.Hahahaaaaaa,na siku nikiiotea,nakula mpaka vya siku nilizotoka kapa!
siwezi jitoa akili kiasi hicho nkatafuta mtu above 65kg..neverJikazeni sio kwa ubaya lakini.
Wala hatuko na distance relationship na tunaongozana wote.
Labda wewe chaguzi zako hovyooo