Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Mabonge + sura ngumu distance relation ndo znawafaaa,mambo yakuongozana NOP otherwise wote tuwe Ngumu kumeza
 
Duuuuuh huu mzigo ni D8 or D9😀😀😀😀😀 Ukikulalia kwa bahati mbaya mpaka utoke tayari ushakuwa mtu wa kuimbiwa parapanda😛😛😛
Ndio maana hatutaki vitoto kama huyu mtoa mada.
Sie semi-trela tunavutwa na wazito
 
Hii avatat yako inanitisha na siwajui wanaume ni akina nani kwa ufupi
usiogope,ndio ujikaze kufikia 2030 mtu mrefu atakua aKIJITAHD SANA bas kawa kama JOTI...Warefu ndo haooooo tunaishilia nyie msiwahi ticket ngojeni ziishe
 
Utafiti unapingwa kwa utafiti au sio!Sasa naomba uwe sample space yangu!Ila sio ukanunue pafyumu za maiti!!!!
Siwezi kuwa sample yako wakati nina wangu.
Nawe tafuta wako umfanyie sample
 
Mabonge + sura ngumu distance relation ndo znawafaaa,mambo yakuongozana NOP otherwise wote tuwe Ngumu kumeza
Jikazeni sio kwa ubaya lakini.
Wala hatuko na distance relationship na tunaongozana wote.

Labda wewe chaguzi zako hovyooo
 
Hiyo ya kumkinbia mtu ni tabia mbaya sana, i detest it big time. Hivi can't you remain just pals kama huoni anakufaa?

Naamini ukiweka miadi na mtu, kutana nae, have a few soft drinks (sio hayo mapombe then mnaishia lodge coz akili imehama), talk and say goodbye.

Kama unaona anafaa kwa next step, mualike tena kwa date nyingine, talk, eat and drink...from there mambo yatajiweka sawa tu.

Hili la kumkimbia kwangu ni utoto, ujinga na ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom