Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa lenye vilaza JF ni la siasa kule kuna wavuta bangi hawatumii akili kabisa aiseeAfu asikudanganye mtu kuwa kipimo cha uwerevu na hekima ni kuanzisha thread jukwaa la siasa.
Jukwaa la siasa kuna vilaza na viazi.
Wengi mnajificha kule ili muonekane mna hekima na busara.
Kumbe hamjui kule ni kama kichaka, kuna majoka na kenge, wadudu na wanyama.
Kwani kukutana lazima apate hela yeye Hana ? Au hapo amefikaje? Acheni kutuonea asee kuwa kila tukikutana lazma upewe posho kwenye hicho kikaoBora hata wewe mstaarabu umetoa 10
Mtoa mada kamuacha kama alivyomkuta
Njema sana. Tumepotezana sana. Maandalizi ya JF Party yanaendeleaje?Salama tu.
Za wewe
Nyie mbona hamueleweki?Hamna mwanamke bonge wala mwembamba inategemea kila mtu na size yake..kama unajiona chembamba Tafuta chembamba mwenzio,kama unajiona bonge basi unachuku bonge mwenzako its a matter of preference kila mtu na kile kimpendezacho.
Kupondea bonge au kupondea mwembamba jua huyo si chaguo lako Mwenye mali yake akija anamkubali hvyo hvyo na uwembamba wake au ubonge wake..Tuache kimbilia vya wakubwa sazingine.
Halafu sijasema natafuta wanawake warembo,ni kwamba hili ni tukio ambalo limetokea tu nikakuta ndivyo sivyo!Isionekana its my mission kutafuta wanawake wazuri,hell no!U got it all wrong!Ndio la MMu na mada hii ndo sahihi.
Ila nina maana ukitaka wanawake warembo, kapige ruti kambi za mamiss huko.
Maandalizi poa tu.Njema sana. Tumepotezana sana. Maandalizi ya JF Party yanaendeleaje?
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!
Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!
Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!
Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!
Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!
Wadada punguzeni filters!
Eti huyu ni Linah,jaman!!!
😀😀😀 haya, kila la kheri. Nitachanga, ila kwa sababu za kikazi sitakuwepo kwenye party!Maandalizi poa tu.
Sasa hivi niko Gym najifua nitoe hili tumbo nisije anzishiwa thread na waja humu
Kuna vingine haviliki kirahisi. Umeagiza BURGER ya kuku unaletewa VEGGE sandwich, utaanzaje kula?khy hukumla
Si ndo ulikuwa unaanza.Sina kiu kivile,raha ya tunda ulitongoze,ulisogeze mdogo mdogo mpaka unaenda kulibanjua!Hii ya sh ngapi mzigo,hapana!
Karibu😀😀😀 haya, kila la kheri. Nitachanga, ila kwa sababu za kikazi sitakuwepo kwenye party!
Nadhani ipo kwenye thread mle. Si ndio?Karibu
Namba ya mchango ai unaijua?
Karibu
Yaani jukwaa la hovyo siku zote.Jukwaa lenye vilaza JF ni la siasa kule kuna wavuta bangi hawatumii akili kabisa aisee
YesNadhani ipo kwenye thread mle. Si ndio?