dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Kama nakufanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nakufanisha
Ukome kutamantamani [emoji2]Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!
Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!
Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!
Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!
Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!
Wadada punguzeni filters!
Eti huyu ni Linah,jaman!!!
Nakushambulia/tunakushambulia kwa kuyaanika maisha yako nje ya Jf huku.Hapana,ila mimi na mwenye mkorogo tofauti!Sikujua kama wananuka k,ukiongezea na hilo(kama ni kweli) basi najipongeza kwa kusepq!Sasa nashangaa unanishambulia!
Mimi uyo?Kama nakufanisha
Yaani humu wanaume kila kukicha ni mada za wanawake tuuuuu.Yani hatari mbona si huwa hatuwaanzishii nyuzi za kuwazalilisha kweli wanaume wanahesabika
Hahahaaaaa,punguzeni filter wadada!Huyo wa mtandaoni ana walakini na hajimani huyo, tena mwanaume asiye weza kuhifadhi madhaifu ya mwenzako hafai kwenye uanaume aisee ni aibu tupu.
Na mwenyewe ndo nashangaa filter zimemdaganyaje kwa mfano had akaona mtu kawa tofauti.
Huyo itakuwa kumbunulia msosi wa buku 10000 na soda kilimuuma na papuchi kakosa sasa kaja kunalizia hasira humu
Hajui kutofautisha kati ya edit na original labda katoka kolomije hukoNakushambulia/tunakushambulia kwa kuyaanika maisha yako nje ya Jf huku.
Mmepewa vifua sio vya kuhifadhia mada jukwaa la siasa.
Mmepewa pia mpambane na changamoto kama hizo.
Eti utajuta.
We mpaka umri huo hujui filters zinafananaje?
Hujui kutofautisha kati ya halisi na copy
HahahahahahWamejichomea yaani utasema mjusi aliyepigwa na jua kalala kichwa chini tumbo juu
Wanaume wa sikuhizi vinara kuwananga wanawake vyuma kukaza hasira zao kwetu wanawake imagine kumnunulia huyo Dada msosi kaumia kiasi hichoYaani humu wanaume kila kukicha ni mada za wanawake tuuuuu.
Kutafuta pesa hawataki...kazi kujadili huyu yupo hivi au vile.
Kwa kweli bora tu amejificha nyuma ya kivuli cha Id fake, huenda tungemjua, tungemshusha thamani
Uko kama mimiMi kukutana na wa JF mwiko though kuna mmoja tunaheshimana naye yuko very matured kabisa the rest hamna kukutana wanaume wambeya kuchunguza chunguza tu cjui wanalipwa
Filter hazibadilishi sura wala shape zaid ya rangi tuHahahaaaaa,punguzeni filter wadada!
Santeee [emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ohhh
Usijali...karibu
Ndio maana pale juu nikamuiza huenda nyie wote na huyo wa filter ni wa mkoa.Hajui kutofautisha kati ya edit na original labda katoka kolomije huko
Humu mpaka upate mtu mzima anayejielewa hawa vijana ndo wanaleta na nyuzi kabisaUko kama mimi
Wala sikufundishi mwayaUnanifundisha kusema uongo
Mimi uyo?
Yaani humu wanaume kila kukicha ni mada za wanawake tuuuuu.
Kutafuta pesa hawataki...kazi kujadili huyu yupo hivi au vile.
Kwa kweli bora tu amejificha nyuma ya kivuli cha Id fake, huenda tungemjua, tungemshusha thamani
Wana kazi basi.Wanaume wa sikuhizi vinara kuwananga wanawake vyuma kukaza hasira zao kwetu wanawake imagine kumnunulia huyo Dada msosi kaumia kiasi hicho
Nipe hyo offer ole wako uje unianzishie Uzi JF cha moto utakionaNakupa offer ya kunifahamu!