Huyu Muhuni aliyezeeka anaonekana kuna vitu vingi yuko behind na ndo mpishi wa haya yote amekosa maadili ya Uongozi na Uzee wake inatakiwa akamatwe mara moja kwa vitendo vyake vya kihuni.
Juzi Kati alikua na Mazungumzo na Rais wa Jamuhuri Ikulu alikua katika Position ya Kushauri kuuliza na ku suggest way foward matokeo yake amekuja ku blast public pamoja na viapo vyake alivyowahi kuapa katika utumishi wa Umma ameamua kutumikia wanaomtuma. Hata Jeneza lake halitakiwi kufunikwa bendera ya Taifa na kuanzia sasa anyang’anywe ulinzi na Ration zote.
Warioba ameahidiwa kuwa Rais kwa kipindi cha miaka 5 na mabeberu ndo kitu ambacho kinamtoa akili mpaka aonekane kama muhuni aliyezeeka ulipewa Mgao wa $8m ukakataa ukakubali kuwa Rais hivi sasa umebakiza nguvu ya kunya au kusukuma mavi tuu we mzee pumzika!!!!!
Warioba behave yourself and this is the last warning stop cooking up things endelea kunywa gongo na kulea wajukuu zako.
Hakika wewe ni mjinga usiye na faida yoyote kwenye Ulimwengu huu.
Tunaomba Mungu azidi kumbariki na kumlinda mzee Warioba kwa sababu ile dhamira yake iliyo njema, dhamira inayopenda haki, isiyotaka kujipendekeza ili kunufaika.
Hakuna mwenye akilitimamu mwenye dhamira njema anayeweza kum-attack mzee Warioba kwa kauli zake zinazoenda kwenye msingi wa kuliimarisha Taifa.