D
DeletedMember281674
Guest
Huyu Muhuni aliyezeeka anaonekana kuna vitu vingi yuko behind na ndo mpishi wa haya yote amekosa maadili ya Uongozi na Uzee wake inatakiwa akamatwe mara moja kwa vitendo vyake vya kihuni.
Juzi Kati alikua na Mazungumzo na Rais wa Jamuhuri Ikulu alikua katika Position ya Kushauri kuuliza na ku suggest way foward matokeo yake amekuja ku blast public pamoja na viapo vyake alivyowahi kuapa katika utumishi wa Umma ameamua kutumikia wanaomtuma. Hata Jeneza lake halitakiwi kufunikwa bendera ya Taifa na kuanzia sasa anyang’anywe ulinzi na Ration zote.
Warioba behave yourself endelea kulea wajukuu zako.
Cc: Aione Kamanda Mafwele kwenye faili