Mguseni muone JW wanarudishia heshima wapi iliyoporomoka Kwa kuwalinda janjawidi terrorists ccm.Huyu Muhuni aliyezeeka anaonekana kuna vitu vingi yuko behind na ndo mpishi wa haya yote amekosa maadili ya Uongozi na Uzee wake inatakiwa akamatwe mara moja kwa vitendo vyake vya kihuni.
Juzi Kati alikua na Mazungumzo na Rais wa Jamuhuri Ikulu alikua katika Position ya Kushauri kuuliza na ku suggest way foward matokeo yake amekuja ku blast public pamoja na viapo vyake alivyowahi kuapa katika utumishi wa Umma ameamua kutumikia wanaomtuma. Hata Jeneza lake halitakiwi kufunikwa bendera ya Taifa na kuanzia sasa anyang’anywe ulinzi na Ration zote.
Warioba behave yourself endelea kulea wajukuu zako.
Tutamtuma Makonda anatoshaMguseni muone JW wanarudishia heshima wapi iliyoporomoka Kwa kuwalinda janjawidi terrorists ccm.
Hawa wazenj wanatuchafulia nchi yetu!! Huyu mwizi siku akitolewa madarakani nchi hii itakuwa imetatua 90% ya matatizo na itatulia ; kuna umuhimu wa watu wenye staha zao kumshauri aondoke kwa heshima asingoje kudhalilishwa. Hivi huko CCM siku hizi hakuna watu wenye courage ya kuweza kumwambia huyo mwanamke kuwa yeye Indio TATIZO la nchi hii?Mjinga sana wewe badala ujibu hoja unamshambulia warioba? Polepole mmempeleka wapi?
Nyumbu tulia jamaa Aseme ukweli Jf ni jukwaa huru kila mtu kuleta maoni yake huu udikteta uchwara anzisha forum yako uiite Nyumbu Forum ndo uufanye ila siyo humu.