Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!



Hakika wewe ni mjinga usiye na faida yoyote kwenye Ulimwengu huu.

Tunaomba Mungu azidi kumbariki na kumlinda mzee Warioba kwa sababu ile dhamira yake iliyo njema, dhamira inayopenda haki, isiyotaka kujipendekeza ili kunufaika.
Hakuna mwenye akilitimamu mwenye dhamira njema anayeweza kum-attack mzee Warioba kwa kauli zake zinazoenda kwenye msingi wa kuliimarisha Taifa.
 


Hawa wauaji wa kutoka Zanzibar, laana ya damu za Watanganyika zimeanza kuwafanya wendawazimu.
 
Bwege wewe mnapenda kila mtu awe mlamba viatu wenu, ila yeyote anaekemea haya ni adui wenu;

Mpigania haki.
Utekaji.
Ufiraji/ulawiti.
Ufisadi.
Incompetence ya viongozi wengi wa umma.
Mwenendo mbaya wa nchi.
Uhuru wa kutoa maoni na kujieleza.
 
Kuwa na heshima tu wakubwa ingetosha,last warning ipi mfuatane sasa
 
Kuandika kingereza kusikufanye uone upo na akili. Mzee waruoba anasema kile ambacho wengi wa mafisadi hawapendi kusikia.
Pili mzee warioba kwa umri wake hajawahi kufikiria kuwa rais wa nchi. Kwa sasa amebaki kama mshauri tu.
Uwe na adabu kenge mjamzito wewe.
 
Mkipigwa kwenye mshono huwa mnahangaika kweli. Wa kukamata na kunyonga ni Samia sio Warioba.
 
Nawasubiri wahadhiri wa kiislamu na BAKWATA waje kumjibu Mzee Warioba
 
🚮
Mods huwa wanafuta nyuzi za maana ili ajabu huu uchafu wanauacha!!!

Ccm ina baadhi ya majitu majinga mnoo.

Jaji Warioba ni waziri mkuu na makamo wa rais mstaafu na ni mzee muadilifu pekee aliyebaki. Wee chawa mhuni unampa onyo kivipi, kwamba utamteka au?
 
Warioba kongole nyingi kwa kukataa kulambishwa asali. For your information walichomuitia ndicho alichoitiwa Lissu juzi(walimpeleka Lugalo wakajaribu kulambishwa asali naye kagoma).
Kama ulikuwa bado haujazaliwa aliwahi kumgomea Mwinyi(Ruksa) akiwa Waziri Mkuu mpaka akaachia ngazi Wahindi walipoacha kufuata protocols walipokuwa wakihitaji kuzungumza na rais(though zilikuwa ni connections za mama Sitti) so huyo mzee ana misimamo isiyoyumbishwa.
 
We mpemba mbona umepaniki??
Tulia sindano ziwaaingie mlidhani kupiga naye picha itabadil msimamo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…