Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!

Angewasifia udhalimu wenu, mngemkamata
 
JF imekuwa ya hovyo saan siku hizi. Hapa JF mtu anaweza mshambulia mwingine bila kushambulia hoja na akaachwa na Mods. Zamani hapa mtu anashambulia hoja sio mtu.
Zamani ulikua unatumia VPN?
 
JF imekuwa ya hovyo saan siku hizi. Hapa JF mtu anaweza mshambulia mwingine bila kushambulia hoja na akaachwa na Mods. Zamani hapa mtu anashambulia hoja sio mtu.
Yeye si alishambulia kupitia Jamuhuri TV
 
Nenda kamkamate nani amekukataza?
 
Tundu la katikati ya matako likisha tanuliwa huwa linavujisha akili naona tayari yamesha kupata hayo matatizo
 
Unajua waliongea nini na samis?
 
Ukiona povu la hivi, basi ujue Warioba kaongea ukweli unaotakiwa na wananchi. Huwa mnajilisha upepo kuwa wafuasi wa cdm wana matusi, lakini uhalisia unakataa.
 
Utter nonsense! Tumefika hapa tulipofika kwasababu ya presence ya idiots wa aina yako kwenye hii nchi.
 
hako kababu kalitamani kuteuliwa kwenye Tume ya uchunguzi, baada ya kuachwa kana hasira kinyama yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…