Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!

Mleta mada jitahidi kuji-control badala ya kukurupuka na kuandika maneno ya hovyo kwa mtu kama Mzee Warioba. Mtu kama Mzee Warioba anatakiwa ajibiwe kwa hoja na kwa nidhamu tofauti na wahuni kama Mwamakula, Kitima, Bagonza, Mwaipaya, Lema, au Hilda Newton.
 
We ni maku
 
Watoto wadogo mnawaita Wazee ni laana hiyo na kulelewa na mzazi mmoja waliopata mafunzo ya wazazi hawawezi kuandika ulichoandika..
 
Mliyoyafanya kubalini tu ni unyama na ni mabaya na yanaumiza hata mkimuua kwa maisha ambayo ameshaishi inatosha 😂😂 ila amekataa kufa akiwa kimya , amekataa kubariki ukatili, moyo wake umemsukuma kusema !

Ila zamu hii manina hata mje na kioja gani ukweli utajitenga na uongo, hata hiyo miili huenda sio leo huenda hata baada ya miaka 30 mbele kuna siku mtu tu ataliibua huku na huku mnastukia miili imechimbuliwa 😂😂

Hamjasikia huko kwa wenzetu EPSTEIN FILES mambo ya kitambo kweli ila now ndo watu wanaanza kufukunyua !
Wahenga hawataamini Siri ya mtungi tutaijua wote sio kata tu , na Gen Z hatusikii la mkuu na miguu hatuvunjiki 😂😂
 
Mleta madam, hiyo project yenu ni ngumu mno na haina maana Wala maslahi, achaneni nayo.
Hivi, who are you kumtisha Jaji, waziri mkuu na makamu wa pili wa rais mstaafu wa Tanzania?
Ipo hivi, gusa na ua wote unaotaka ila kwa huyo mzee kaa mbali utaharibu mno na huenda somalia ikawa afadhali.
 
Nani amkamate Warioba? Yapo mengi wanaweza kufanya, kumkamata hakuna mtu anayeweza kutoa hayo maelekezo.
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=d_NAcuRcYZg&pp=ygUZa29tYmEga3VodXN1IG16ZWUgd2FyaW9iYdIHCQlNCgGHKiGM7w%3D%3D
 
Shida kubwa ya nchi hii sio watawala, ni wananchi wasiojielewa na machawa... kama wasemavyo waswahili nguvu ya mamba ni maji... mpo tayari kulamba as* za mama kisa vijisenti...

Tule mtori nyama tutazikuta chini... ila nchi hii ukombozi wa pili upo njiani.. maji na mafuta vitatengana, Mungu ni mwema.... let's c
 
Kitu pekee ni kuwa, vyovyote itakavyokuwa ila mioyo yenu haitokaa ije kuwa na amani hata kama ardhi itawameza Leo, majuto na huzuni zitadumu hata huko mbinguni tutakapoenda...

Hamkuyatendea haki maisha na uhai wa viumbe vilivyostahili kuishi kama ninyi...

Kusonga mbele kama Taifa, tunahitaji viongozi watakao ukiri ukweli wa kilichotokea, ukweli usio na mashaka....

Kama ilivyo siku inapokuwa ndefu kwa pumzi aliyonayo mwanadamu, ndivyo miaka mitano itakavyokuwa migumu

Kirini kilichotokea, tuson
ge mbele
 
Kwa hiyo mlitaka kumziba mdomo kwa $8ml? Kweli damu ya mtu inalaana. Mtasema yote mnayoyafanya gizani dhidi ya watanganyika
 
Wajinga kumbe bado mpo mpaka maandamano yajayo tutawamaliza
 
Unawashwa kaka,
Kuwa makin na fikra zako mkuu, inaonekana hautumii akili vizuri,

Umejuaje kama alienda kuongea nae hayo uliyoyasema?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…