Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!


Cc: Aione Kamanda Mafwele kwenye faili
 
Hahaha...kwamba juzi alipiga picha na rais...Nchemba naye alipiga na Kitima halafu siku chache zilizoofuata akanyooshwa vizuri tu...tunasubiri wanazuoni, ma amiri, wahadhiri na bakwata kutoa milio...kitu kimeingia kidawasawa
 
Nyie vijana wa hawa wahuni hamna adabu hata moja ; huyo Kikwete anayewatuma mumtukane Warioba hana busara wala hekima za Warioba!! Anawatumia na mwisho wake atawatupa kama condom!! Angalia jinsi allivyomtumbukiza Samia kwenye lindi la matatizo kwa ushauri wake mbovu.
 



Ndo malezi mlio nayo kutoka chama chako siyo?
 
Moderator futeni huu ujinga. Msaidieni huyu CHAWA! amepaniki vibaya.

Walianza kuwashambulia Maaskofu wa TEC na Dr. Kitima! Na hata sasa wamehamia kwa Mzee Warioba.
Ukijua yanayoendelea wala hutashangaa... Unadhani kwann TEC IPO kimya this time around (tarehe mbaya) subiri yajayo
 
Chawa wanakuja kwa namna tofauti tofauti ili wasigundulike lakini vipimo tulivyoweka vinawanasa faster,oneni ili chawa lilicho andika utafikiri limeandikia makalio,haya si ni mavi matupu
 
Hivi kasema nini hasa?..maana nimeona tu kwa zungu akinuliwa kusema vyombo vya ulinzi vimegawanyika kidini,kama ndivyo na anashangaa basi atakua mpumbavu,maana ni yeye aliyesema teuzi za Samia Zina harufu ya udini, ilhali serikalini pamejaa TEC wenzie achilia mbali wavaa miaslaba
 
Alikula makofi ya bashite pale udsma na fresh tu
 
Nani alimteua waryoba kuwa jaji?
Vijana wahuni wakizeeka madhara yake ni kupata wazee wahuni
Kumpa nchi mtu mwenye elimu mbalimbali madhara yake ni kupigwa mnada na kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki. Ndo tunachokishuhudia sasa
 
Hakuna kiapo chochote ambacho mtu anaapa kinachosema kuwa ufumbie macho mauaji ya kimbari ya wananchi.
 

Ulitaka na yeye awe na mawazo kama yako?
 
Huyu mzee mimi namjua siku nyingi sana kuwa hafai
 
Hicho ndio walichozungumzaa

Kama unapinga muulize alikutana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…