Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!

Warioba yuko sahihi, alishakua waziri mkuu, ni mwanasheria nguli na alishawahi kuwa jaji mkuu wa mahakama kuu.

Anajua anachokifanyaa.
 
Kama wewe ni wakiume kajichunguze huenda walikosea jinsia..
 
Mguseni muone JW wanarudishia heshima wapi iliyoporomoka Kwa kuwalinda janjawidi terrorists ccm.
 
Mguseni TUNDU LISSU au huyo Warioba muone nguvu ya umma na jw Kwa pamoja ccm someni alama za nyakati u r unwanted Yani hapa mnawekwa kati kimya kimya nje na ndani wajanja kwasasa wana keep low profile.
 
Mjinga sana wewe badala ujibu hoja unamshambulia warioba? Polepole mmempeleka wapi?
Hawa wazenj wanatuchafulia nchi yetu!! Huyu mwizi siku akitolewa madarakani nchi hii itakuwa imetatua 90% ya matatizo na itatulia ; kuna umuhimu wa watu wenye staha zao kumshauri aondoke kwa heshima asingoje kudhalilishwa. Hivi huko CCM siku hizi hakuna watu wenye courage ya kuweza kumwambia huyo mwanamke kuwa yeye Indio TATIZO la nchi hii?
 
Moderator futeni huu ujinga. Msaidieni huyu CHAWA! amepaniki vibaya.

Walianza kuwashambulia Maaskofu wa TEC na Dr. Kitima! Na hata sasa wamehamia kwa Mzee Warioba.
Nyumbu tulia jamaa Aseme ukweli Jf ni jukwaa huru kila mtu kuleta maoni yake huu udikteta uchwara anzisha forum yako uiite Nyumbu Forum ndo uufanye ila siyo humu.
 
Baada ya kusoma uzi wako na kuona madini mengi uliyoandika nakubaliana na wewe Warioba ndo yuko nyuma ya nyumbu wote hadi kina padre kitima, ila Amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote, nyumbu yoyote atakaenyanyua shingo yake kujaribu kuvuruga amani shingo yake itakatwa kikatili bila huruma yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…