Nimekaa na wasichana kibao nimeagiza chipsi yai wao wameagiza ugali naona aibu kula.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.

Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.

Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.

Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.

Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .

Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.
 
Utakuwa mwanaume wa dar wewe.cc huku n ugali wa dona
 
Wote tunakaa daar
Hata kama mnakaa dar itakuwa asili yako n hapo au uliingia dar miaka mingi iliyopita.tatizo huko joto linayeyusha damu inakuwa nyepesi na kulainisha ubongo.hivyo huathiri uwezo wa kufikir kama kidume.ndo maana wanaume weng wa dar wanavaa suruali chin ya makalio na visendo vidogo vya kike.
 
Haa! Aibu ya nin? Mimi kuna dem ili nimpate nililazimika kutoa ofa ya chipsi mishkaki na vinywaji kwa mashost zake 14 kwenye pub flan maeneo ya Mcity. Aliniambia kama simtaki basi nisitimize ilo shart.
Mkuu niliunguza mshahara wangu wa kima cha chini hadi nikafanikiwa.
 
Stor ya uongo hii,..hakuna dem anakula hvo vtu especialy kama chips zipo,hawapendag kucha zao zigandie ugal,kwanza hakuna dem anaependa ugali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…