Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.
Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.
Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.
Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.
Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .
Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.