Ndio wadinyane nyumbani kwangu?!Sijajua aina ya biashara unayofanya lkn aisee chipkizi usipokua makini watakuharibia aisee!!!
Acha watu wadinyane bn 🍑🍆kwa dar ni tamu sana
Ujue usajili mpya unakuja yaan kuku wa kienyeji kbs vigezo vyote anavyo unaona kbs huyu akijua kuoga hauzi msosi tena unamuwahi unakula chap chap wiki mbili tena unakua unakaba hadi jioni wasije mchafua baada ya wiki mbili ashajanjaruka unakimbia mapema, kariakoo msambaaa akigusa tu wajuba haturudi hapo🤣🤣wale wajomba wengi ni wagonjwaHaki mnajua kuharibu wadada wa watu
Halafu hiyo tabia ya kuwapa wallet zenu wajichukulie pesa, inasababisha wawadharau wapenzi wao ambao apeche alolo 😂😂😂😂
Kkoo vijana mawinga ni waharibifu sana!!
Mnavunja ndoa za watu
Watoto kua makini aiseee kama huamini mazingira bora hata uwapeleke kijijini, Mimi ktk suala la watoto npo sensitive sana ikitokea ntahitani mtoto nazaaa na mwalimu 🤒🤒🤒na hata serious dating nadate na walimu tuNdio wadinyane nyumbani kwangu?!
Yaani nikisafiri mpk nawaza sijui huko nini kitatokea 😂😂😂
Km vijana wangu wa kazi wananipa presha hivi!!! Vipi nikiwa na watoto wangu wa kuwazaa?!!
Kwahiyo na mimi dada ako unanishauri niolewe na nizae na walimu? 🤣🤣🤣Watoto kua makini aiseee kama huamini mazingira bora hata uwapeleke kijijini, Mimi ktk suala la watoto npo sensitive sana ikitokea ntahitani mtoto nazaaa na mwalimu 🤒🤒🤒na hata serious dating nadate na walimu tu
Apana ww ni WA kike na suala la malezi kwa sehemu kubwa lipo mikononi mwako, kwangu mm ni ngumu kustay na mtoto npo speed kukimbizana na hela ila kwa sababu mama yao kazi zake hazimbani sana atapata ample time ya kukaaa na mtoto, mwalimu anafanya kazi masaa nane, mwalimu ana advantage ya saikolojia ya malezi kwa watoto 😁😁😁Kwahiyo na mimi dada ako unanishauri niolewe na nizae na walimu? 🤣🤣🤣
Hilo ni kweli!! Walimu na manesi wengi wanapendwa sababu wanaume wapate kitonga cha mikopo 😂😂😂Apana ww ni WA kike na suala la malezi kwa sehemu kubwa lipo mikononi mwako, kwangu mm ni ngumu kustay na mtoto npo speed kukimbizana na hela ila kwa sababu mama yao kazi zake hazimbani sana atapata ample time ya kukaaa na mtoto, mwalimu anafanya kazi masaa nane, mwalimu ana advantage ya saikolojia ya malezi kwa watoto 😁😁😁
Nakuibia hii ukiona mshkaji wako anamnyapia madam mpe wiki tatu🤣hawachelewagi kukuchukulia mkopo
Mawinga wanaume ndo zao kumbe hizo kkoo, vp mawinga wadadaBasi umemaliza bro, winga mwenzangu!!
Umenifurahisha ulivyompa tahadhali kumbe mnajijua tabia zenu, wazee wa usajili mpya 🤣🤣🤣🤣
Sema mm sitaki kwa sababu nataka tu advantage ya mtoto tu, mengine atajua mwenyewe, manesi sitaki kbs hao wanakuaga na shift za usiku afu seminar nyingi sijui seminar ya UKIMWI mara magonjwa ya mlipuko mtu hayupo wiki mbili🤒 hata lifestyle lao silikubali Sana Mimi ni mwendo wa walimu nimewaweka kwenye watchlist kama 10Hilo ni kweli!! Walimu na manesi wengi wanapendwa sababu wanaume wapate kitonga cha mikopo 😂😂😂
Na walimu wengi wanapenda kuitwa Mrs…..
Ukiwakuta staff room story ni Mr hivi Mr vile 😂😂😂
🤔 Sijawahi kutana na winga wa kike, sema Kuna Moja alikua akitaka kununua mzigo ananunua kupitia mm maana nlikuwa na ile percent kwa kila carton Moja sikujuaga kama ni winga hata simuelewagiMawinga wanaume ndo zao kumbe hizo kkoo, vp mawinga wadada
🤣🤣🤣🤣 wewe na walimu, walimu na wewe!!Sema mm sitaki kwa sababu nataka tu advantage ya mtoto tu, mengine atajua mwenyewe, manesi sitaki kbs hao wanakuaga na shift za usiku afu seminar nyingi sijui seminar ya UKIMWI mara magonjwa ya mlipuko mtu hayupo wiki mbili🤒 hata lifestyle lao silikubali Sana Mimi ni mwendo wa walimu nimewaweka kwenye watchlist kama 10
Mhmm!! Mwanasheria wangu sina uhakika na vyeti vyake 😂😂😂Mawinga wanaume ndo zao kumbe hizo kkoo, vp mawinga wadada
Hizo package utazikusanya baadae au utawaachia ? Sababu every cent matters kwenye profit unaweza ukajikuta unawafanyia biashara wauza vifungashio.., Mzigo wako utakuwa bei kiasi gani na vifungashio bei ni kiasi gani na je hakuna means ya kuwapatia bila vifungashio ?Kesho ntanunua vile vipackage pamoja na deli langu la kuanzia maisha
Back to back! Huku kwingine tunatafuta pa kupata mpoozo tu🤣🤣🤣🤣 wewe na walimu, walimu na wewe!!
Hahaha unazinguaMhmm!! Mwanasheria wangu sina uhakika na vyeti vyake 😂😂😂
Wapo aisee🤔 Sijawahi kutana na winga wa kike, sema Kuna Moja alikua akitaka kununua mzigo ananunua kupitia mm maana nlikuwa na ile percent kwa kila carton Moja sikujuaga kama ni winga hata simuelewagi
Kaka utakufa walimu 10, wengine bado unawanyapia!! Wale mama ntilie kule kkoo……?!Back to back! Huku kwingine tunatafuta pa kupata mpoozo tu
Kkoo Sina demu labda ile weekend tunakiwasha yameisha tusijuane tukikumbukana tunakiwasha hvo tuKaka utakufa walimu 10, wengine bado unawanyapia!! Wale mama ntilie kule kkoo……?!
Wa kitaani……?! JF….?! Bus ngapi za mkoa tunawajaza?!😂😂😂
We ukiskia winga hua unaelewajeWapo aisee
Humu kuna mtu tulikua tunataniana sasa akanifata pm bhana akanitumia pic yake weeeh!! Ni baba mzazi kabisaa 😂😂😂😂Kkoo Sina demu labda ile weekend tunakiwasha yameisha tusijuane tukikumbukana tunakiwasha hvo tu
Kitaaani sihangaikagi sana
Jf 🤔Sina kbs kama yupo ajitokeze haraka sana, Kuna Moja nlimuelewaga nikawa nafuatilia sana michango yake sijui shetani Gani liliniambia chungulia profile yake 🤣nikakuta joined yake ni mwaka ambao naanza form one.....aisee nliiishiwa nguvu nkaaacha mawazo ya kunyapia humu