Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Sitakaaa nijaribu hata siku moja, sema Kuna Moja kwenye selfika ya mshanaπππatanifanya nioneshe ubabe wangu uliopo absaHumu kuna mtu tulikua tunataniana sasa akanifata pm bhana akanitumia pic yake weeeh!! Ni baba mzazi kabisaa ππππ
Tena anatungisha mimba yangu huku anavuta sigara!!
Unataka kujaribu tena hukomi? πππSitakaaa nijaribu hata siku moja, sema Kuna Moja kwenye selfika ya mshanaπππatanifanya nioneshe ubabe wangu uliopo absa
ππππBas sawa ntakula likes zake tuUnataka kujaribu tena hukomi? πππ
Sio β¦β¦β¦?!
π€£π€£π€£π€£ Kumbe yule wa like?!!ππππBas sawa ntakula likes zake tu
Ohoooo usije mix mafile ww watoa likes wapo wawili! π€£π€£π€£Dah mdomo komaπ€£π€£π€£π€£ Kumbe yule wa like?!!
wana nini cha ziada walimu...?Watoto kua makini aiseee kama huamini mazingira bora hata uwapeleke kijijini, Mimi ktk suala la watoto npo sensitive sana ikitokea ntahitani mtoto nazaaa na mwalimu π€π€π€na hata serious dating nadate na walimu tu
Nimeeleza vzr humo kwenye replies zanguwana nini cha ziada walimu...?
Nishamjua wewe amini hivo π€£π€£π€£π€£Ohoooo usije mix mafile ww watoa likes wapo wawili! π€£π€£π€£Dah mdomo koma
Si ni hawa madalali anakuwa anauza vitu lakini hana duka kisha nae anaenda dukani kuchukua mkipatana akiwa kaongeza cha juuWe ukiskia winga hua unaelewaje
Macho yakoπππNishamjua wewe amini hivo π€£π€£π€£π€£
Umeamua kumtaja π€£π€£π€£Macho yakoπππ
Unazingua sasa! Ngoja niende zangu sehemu nikapoeUmeamua kumtaja π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ Kwan nimekosea?Unazingua sasa! Ngoja niende zangu sehemu nikapoe
Hapo sijui maana nkisema umepatia au umekosea ntakua nimeshajichanganya ko tuachie hapo Kwa leo, mengine itakua episode 2π€£π€£π€£ Kwan nimekosea?
Ni yeye macho bhana π€£π€£π€£Hapo sijui maana nkisema umepatia au umekosea ntakua nimeshajichanganya ko tuachie hapo Kwa leo, mengine itakua episode 2
Najaribu kuterminate hii mada mwangu umenikazia ππslow downNi yeye macho bhana π€£π€£π€£
Basi nimeacha ππππNajaribu kuterminate hii mada mwangu umenikazia ππslow down
Pata moja baridi Moja moto! Unyama sanaBasi nimeacha ππππ
Hongera mkuu kwa uamzi huu komaa ila hakikisha haupigwi shoti na ile jinsia nyingine pindi utakapowahudumia.1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu
Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa matunda yaliyokatwa katwa. Hence, siku ya kesho naingia kulangua matunda yangu although nimeshauriwa kuanza na matunda ya 15,000 na best angu hapa. Kesho ntanunua vile vipackage pamoja na deli langu la kuanzia maisha
Jana jioni niliamua kutembelea posta, kariakoo na Sinza kujionea mwenyewe ni wakina nani nitakuwa nawauzia. Very shameful, aibu jamani nyie, but hakuna namna naeza fanya, nitakomaa hivyo hivyo, sijui watanichangia!? [emoji848] They are too busy, yaani zaidi ya busy
Naomba kufahamu:
Wapi ni bora zaidi kulangulia? Mabibo au Buguruni?
Vile vifungashio nitavilangulia wapi kwa bei nafuu?
Nianzie kuzungukia wapi na deli langu, Sinza ama Posta? Jamani msinichoke, I need your presence ili nipate ujasiri, natamani hata muongozane na mimi mnipe moyo
Nakwenda kupita mitaa ya Gaza jamani