Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Kuna vitu havielezeki ukiviwaza kwa ndani. Mojawapo ya jambo lidiloelezeka na kuonekana ni kama utoto wa kikubwa ni hii kesi inayoendelea ya Jamhuri dhidi ya Lissu. Unakaa unawaza, hivi kweli kabisa wanaume wazima wanapanga kesi na kutumia rasilimali za nchi kuendesha kesi batili dhidi ya mtu mmoja.
Yani wanaume wanavaa nguo wanatoka wanawaaga wake zao na watoto kisha wanafika jengo fulani kuendesha kesi. Unajua nawaza hadi nachoka, hadi naona kabisa kuwa this is too low for Lissu. Yani haifai Lissu kujibizana na hayo yanayoendelea. Hadi natamani kuona kama vile Lissu angesema tu nanyamaza tuone mtachukua hatua gani.
Ukweli kabisa ni maigizo ya kitoto yafanywayo na watu wazima. Sijajua kama mnaipata hii picha ninayoipata mimi akilini.
Kisha watu wazima hao wanarudi makwao na kupokelewa na watoto wao...