Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Ni kweli kabisa, uhaini sio kitu kizuriUhaini sio jambo dogo
Ninvetamani uje mfumo mpya tofauti na siasa, maana kila alichokianzisha mwanadamu kinamshinda yeye mwenyeweHaya mimi nayajua tangu nikiwa shule ya msingi ,kila kitu binadamu katunga mwenyewe halafu kinamsumbua ..sheria wanatunga wenyewe baadaye wanazivunja .
Siwezi kufautilia siasa sionii cha kumsifia Lissu wala Rasi ,wote ni watafuta ugali wa familia zao.
Pesa wanatengeneza wenyewe halafu wanaanza kuzitafuta ....
Vyote ubatili zaidi ni kuzaliwa na kufa...Unavyojua ni vichache ,vingi tunavyojua ni uongo havina uhalisia.Ninvetamani uje mfumo mpya tofauti na siasa, maana kila alichokianzisha mwanadamu kinamshinda yeye mwenyewe