Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nimefurahi.Sasa kinachokuchekesha nini? Wanawake bhana 😡😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi.Sasa kinachokuchekesha nini? Wanawake bhana 😡😡
Si ndie anayependwa jamani🤣🤣Halafu boda boda anaambiwa kiroho safi yaani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Simu ulochukua hizi conv ni ya mshkaji.
Watu wenye simu mbili hawaishigi vituko wakichoka na kuboreka huwa wanajitumia message wenyewe. .
Hapo unajibembeleza mwenyewe kisha unajifumania na kwenda kupost JF. .
Haha kumiliki mke sio kama kumiliki mavi kwamba kila mtu anakunya 😱Chizi hili..mke wangu mke wangu...kumiliki mke mchezo[emoji16][emoji16][emoji16]
AfadhaliWatu wenye simu mbili hawaishigi vituko wakichoka na kuboreka huwa wanajitumia message wenyewe. .
Hapo unajibembeleza mwenyewe kisha unajifumania na kwenda kupost JF. .
Itakuwwa imekorogewa chumviChai imepikwa vibaya [emoji23]
Ushauri mzurii huuAchana na wanawake oa Tia mimba pale watoto ndo ndguzako yeye ukimtia mimba Tena mfulululizo tatu au tano zote kila baada yamwanao kuzaliwa anyonyeshwe miezi au 9 Tia mimba akizaa Tena fatisha Tia mimba .....harafu kua mjinga kwake dili na wanao pia simu yake na mengine usifatilie ....
Mtu kashalogwa [emoji23].. mkuu itabidi umtafute mwamposa sidhani kama unaelewa unaelewa kama umekosea mpaka mda huu
Kabisa yaani..!! Usikute ni simu yakeMimi mbona hii conversation kama vile umeichukua kutoka Kwenye simu ya mwanaume?