Nimekamata text hii kwa mke wangu. Hivi wanawake mna nini?

Watu wenye simu mbili hawaishigi vituko wakichoka na kuboreka huwa wanajitumia message wenyewe. .

Hapo unajibembeleza mwenyewe kisha unajifumania na kwenda kupost JF. .
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo screenshot txt zipo kwenye upande wa simu ya mwanaume ilitakiwa useme umefumania meseji kwenye simu ya mume wako au umeona aibu tusije kujua we ni shoga ?
 
Ushauri mzurii huu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwenye uzi kala kona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…