Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He's PC of ..$Umeoa, alafu unawasiliana na wanawake wengine mambo yasiyo na maana? WTF!
Hiyo achia sisi bachelors!
subiri utengenezwe uache kiherehereMsaada wenu tafadhali.
Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta.
Majina haya wanataka wakayafanyie nini?!!! Ni wachawi hawa?!!!!!!! Mpaka sasa nimekausha tu kimya nasubiri kwanza nipate hili na lile katika ushauri.
Kwa kawaida huwa sifuti meseji kila wakati na nina marafiki wengi tu wa kike ambao tunaongea ya maana, tunaongea yasiyo na maana, tunataniana n.k katika kupitisha siku. Hili nimewahi kumuelekeza na simu yangu ni yake tu.
Nimefadhaika na kushangaa sana!!