Nimekasirika kuitwa malaya

Nimekasirika kuitwa malaya

pole kwa kutukanwa, its not fair, lakini je wao kukutukana ndio ushahidi wa ushoga wao ?!

Kama unasema wanakuita malaya bila ushahidi, kulikoni pia unawaita mashoga "bila ushahidi" ??! je tofauti yako na wao unaowalalamikia kwa paragraph zaidi ya 10 ni ipi ?!
ila wao watoe ushahidi halafu huwezi ona wivu Kwa mwanamke kupendwa na mwanaume kha nakuandika huyu Malaya wakati wewe ni mwanaume unaonyesha umekosa , na jingine unamtaka huyo dada na huwezi sema najingine unahamu uwe wewe ushughulike hata mimi siitaji shida wajee tu navichambo vyao nakaa kimya
 
Jamani tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika, mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life

Ndugu Unique Flower, na mwenzie mpwayungu village, walifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu za ofisi

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo wavumilieniii
Sawa bahna umeshinda mie chizi ila ngoja sikubali kuitwa chiziii
 
Kuna watu wanadai ni wanaume ila nimefanya utafiti ni mashoga

Nipo serious Kwa sababu huwezi mtu kufurahia status Yako kimaisha na mtu aje aandike mbovu Kwa hasira sijui Malaya wewe.

Unaliwa nauanze kutoa povu ukiambiwa haya toa ushahidi hakuna .

Ila jamaa amejaa hasira Kisa upo na mwanaume mwenzio Sasa mtu humjui Wala hijawahi muona hujui anaishi wapi ila anakukera .

Hali kwenu maana wote wananitukana watu humu bado wanamtegemea makwao.

Bado ni wale wanaoona maisha yapo hawajui Kodi ya shemeji ikisha nani analipa na mengine to.

Wao wanakaa tu . Kutukana watu course asubuhi wameshiba,...

Mchana wameshiba na ijioni.

So wakiingia humu wanadis kila mtu Kwa akili ya maharage.

Au unakuta nimtu mwenye kila kitu ila yupo mpweke anastress mbaya sana.

Akili yake umejaa shida na mawazo halafu ni mtu ambaye hakuna anayemtaka.

So hata aje mwanaume mwenzio anamaliza haja zake maana Hana option.
So wengi humu mume jikatia tamaa.

Umeng'ara hakuna demu anasema hi upo tu nakila kitu kizuri hapo.

Everything you have but no company unaishia kunywa .nakuperuzi mitandaoni unakuta UNIQUE FLOWER anapendwa kila siku nawatu .

Na babe zake wapya unaanza maraya unamake fake story ilimradi niongee mie nashomboo nakupa kweli hadi uzime.


Sasa kunatype hii Hana kila kitu na bado anaperuzi humu.
Hii ni mbaya sana .

Anahasira yakukosa kila kitu akija humu na kabando kake unique Flower anajisifia na kusifiwa uwiii.

Anashusha kichamboo.

Acheni ujinga humu nikupeana kampani kama hujui kufurahia na kufurahiwa humu basi.

Na mashoga ndio wengi humu wanawivu na watu wanaopendeza na me humu.

Kama Mungu alipanga huyu unique fulawa apate mtu humu atapata ila kama hajatakiwa atapata alipotakiwa apate na hiyo haikuhusu. Wivu wanini na unamshipii?

Au nawewe unataka uvuliwe uliwe upigwe upepo na wewe ni me.

Jingine unakuta wivu za akinadada so anajibadili Kwa account yake annamtukana mwingine Kisa ujinga tu humu.

Kama ulichezewa move on this is new year
Bidada nimesoma uzi wako wote ila sijaona connection ya uzi wako na kichwa Cha Habari sijaona sehemu ukituonesha ukitoaa vivid evidence kuwa jf kuna mashoga wengi
 
Upumbavu ufanye wewe hadharani halafu utuzibe midomo?

unatumia nguvu kubwa kujikweza ilihali huna hizo standards, we ni dampo la hamu za wakulungwa.
una hangover za konyagi na k vant!
 
DADA TUNAKUOMBA UWE NA HESHIMA.

JAMII FORUMS NI HOME OF GREAT THINKERS.

SI SEHEMU YA ..
UMBEA.
MAJUNGU.
UNAFIKI NK.

JIHESHIMU TAFADHALI.
Na nyie mjieshimu jamii forums sio sehemu ya kudhihaki mtu , kumshutumia uongo , kumwona hafai na kumpa maneno machafu nyie wanaume ambao hamjieshimu jiheshimuni tafadhali
 
Back
Top Bottom