Nimekasirika kuitwa malaya

Nimekasirika kuitwa malaya

MMU ianzishe Fund ya Ushauri Nasaha. Huyu dada atafutiwe Mwana Saikolojia kinguvu, laah sivyo atakuja kujidhuru.

Unaongea kwa kelele sana mpaka naumia masikio
Kila siku huwa analalamika tu, afu Aya zake hazieleweki. Haweki vituo, hafuati alama za uandishi.
 
Badala ya kumsadia mwenzenu mnamcheka kuminjoi
Kwenye Uzi wake wa pili tulifanya hivyo.

Kwa mtu mzima inatosha kabisa.

Wakati mwingine kuubeba upumbavu wa watu na kuuweka kichwani ukuhangaishe ilihali umeshajua ni upumbavu pia. Hiki Sasa anachoendelea nacho mleta uzi ni upumbavu.

Hawezi kushindana na wapuuzi ambao wanaamua tu wakukere. Na Kwa nafsi Yako unaona kabisa yanayosemwa ni upuuzi. Kadri anavyoendelea kuwaanzishia nyuzi ndivyo kadri watazidi kumuongezea maneno ya karaha na kebehi.

Wakati mwingine ukimtambua mpumbavu na upumbavu wake ni kumpuuza, mwisho ataacha. Ila Kwa hivi anavyofanya ategemee kero nyingi zaidi.


Kama yeye kachagua kero sisi wanawake wenzie tufanyaje? Tulishamshauri awapuuzie haelewi acha afanye anachoona sahihi kwake.
 
Wewe ndio una depression plus personality disorder dada. Inabidi ujichunguze una matatizo gani, either unapenda attention za kijinga au una matatizo ya akili. Hauwezi kuwa sawa hata kidogo.
Je wewe unapenda Nini??
 
Kuna watu wanadai ni wanaume ila nimefanya utafiti ni mashoga

Nipo serious Kwa sababu huwezi mtu kufurahia status Yako kimaisha na mtu aje aandike mbovu Kwa hasira sijui Malaya wewe.

Unaliwa nauanze kutoa povu ukiambiwa haya toa ushahidi hakuna .

Ila jamaa amejaa hasira Kisa upo na mwanaume mwenzio Sasa mtu humjui Wala hujawahi muona hujui anaishi wapi ila anakukera .

Hali kwenu maana wote wanaotukana watu humu bado wanategemea makwao.

Bado ni wale wanaoona maisha yapo hawajui Kodi ya shemeji ikisha nani analipa na mengine tu.

Wao wanakaa tu . Kutukana watu course asubuhi wameshiba,...

Mchana wameshiba na ijioni.

So wakiingia humu wanadis kila mtu Kwa akili ya maharage.

Au unakuta nimtu mwenye kila kitu ila yupo mpweke anastress mbaya sana.

Akili yake imejaa shida na mawazo halafu ni mtu ambaye hakuna anayemtaka.

So hata aje mwanaume mwenzio anamaliza haja zake maana Hana option.
So wengi humu mume jikatia tamaa.

Umeng'ara hakuna demu anasema hi upo tu nakila kitu kizuri hapo.

Everything you have but no company unaishia kunywa .nakuperuzi mitandaoni unakuta UNIQUE FLOWER anapendwa kila siku nawatu .
b
Nababe zake wapya unaanza maraya unamake fake story ilimradi niongee mie nashomboo nakupa kweli hadi uzime.


Sasa kunatype hii Hana kila kitu na bado anaperuzi humu.
Hii ni mbaya sana .

Anahasira yakukosa kila kitu akija humu na kabando kake unique Flower anajisifia na kusifiwa uwiii.

Unashusha kichamboo.

Acheni ujinga humu nikupeana kampani kama hujui kufurahia na kufurahiwa humu basi.

Na mashoga ndio wengi humu wanawivu na watu wanaopendwa na me humu.

Kama Mungu alipanga huyu unique fulawa apate mtu humu atapata ila kama hajatakiwa atapata alipotakiwa apate na hiyo haikuhusu. Wivu wanini na unamshipii?

Au nawewe unataka uvuliwe uliwe upigwe upepo na wewe ni me.

Jingine unakuta wivu za akinadada so anajibadili Kwa account yake annamtukana mwingine Kisa ujinga tu humu.

Kama ulichezewa move on this is new year
Huyu aliyekuita malaya amekujuaje kama hajawahi kukula? Jaribu kukumbuka labda kuna siku uliliwa na mtu huko danguro. Na kama wewe unajijua vzr sio malaya, maneno ya uongo hayo yanakuuma kwa nini?
 
sikuwa na mpango wa kusema chochote lakni nikuulize kdogo; unaposema ukweli unauma unamaanisha nini? Ngoja nirudie kusoma huenda ni reading error!
Ukweli unauma, ndiyo. Ameambiwa yeye ni MALAYA na kwa kuwa ni kweli, INEMUUMA SANA!
 
Huyu aliyekuita malaya amekujuaje kama hajawahi kukula? Jaribu kukumbuka labda kuna siku uliliwa na mtu huko danguro. Na kama wewe unajijua vzr sio malaya, maneno ya uongo hayo yanakuuma kwa nini?
Danguro lile lenu pale Kambi ya fisi??
 
Back
Top Bottom