Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nadhani sio jazba, ni kama vile some text missing.....Mtu akiandika kwa jazba, napataga tabu kumuelewa, maana typing errors zinakuwaga nyingi.
Yeah sure. Nimeona with in a week, ana threads za kutosha, zote zinaelekeana.Huyu nadhani sio jazba, ni kama vile some text missing.....
Nimeliona hilo nikaishia kushangaa tu na kushindwa kumuweka kwenye kundi lipi?Kwahiyo ww ukiwa na mwanaume mwenzako watu wanaona wivu?![emoji848][emoji849]
Ukisoma kama ni uzi wa kwanza utaona anavyochanganya mpaka unajiuliza ni me au keHuwa ipo hivyo mkuu. Hasira na jazba zinaondoa umakini
[emoji1787][emoji1787]Kumuelewa Yunik Flawa inabidi uwe umelewa.
Ni KeUkisoma kama ni uzi wa kwanza utaona anavyochanganya mpaka unajiuliza ni me au ke
Nisaidie
utaua mtuKumbuka kumeza dawa zako Ni kutwa ×30
tengua kauli cocastic is very smart personNyuzi za type hii ni za cocastic
HiviUnazingua homegirl
Paragraph yake ya nne anajiainisha kama me au ni hasira mpaka anakoseaNi Ke
Sie tumenyamaza we unakuja na hoja tata,2023 chunga watakukamata
Ni ngumu kwa mtanzania kuona jambo akaendelea na shughuli zake. Binafsi nimejiwekea huo utaratibu, siingilii ugomvi, nikipita nikaona kundi la watu wanazozana napita zangu bila kuuliza nini kinaendelea pale.Chill sis,fanya mambo yako tu jifunze kupuuzia vitu ambavyo havikuhusu,kwa mfano mimi nikipita sehemu nikikuta ugomvi watu hata watake kuuana huwa napita zangu kama sijaona kitu..
Simple bcoz hainihusu,so na wewe enjoy tu maisha yako so long we ndo unajijua vizuri mtu hapaswi kukuharibia mood eti kisa kakutukana.
Mtu akikutusi assume ni kama mtu aliyerusha jiwe then halijakupata,so mwangalie then jisemee moyoni huyu ni mtu wa hovyo siwezi deal naye.
Coz kuna watu furaha yao ni kuona na wewe unapanic kama wao,uwe na mood mbaya kama wao.
Kataa kuwa na mood mbaya kisa mtu,tunaishi mara moja hapa duniani enjoy maisha haya licha ya kuwa kuna watu watakuudhi tu siku moja.
Happy new year to all mates.[emoji1488][emoji3590][emoji3590]