Nimekasirika kuitwa malaya

Polee Ila sioni haja ya kuumia Kwa sababu hakuna anayemjua mwenzake humu Unless anayekutukana anakujua....Hiyo lazma ikuume
 
Ni ngumu kwa mtanzania kuona jambo akaendelea na shughuli zake. Binafsi nimejiwekea huo utaratibu, siingilii ugomvi, nikipita nikaona kundi la watu wanazozana napita zangu bila kuuliza nini kinaendelea pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…