Nimekata mawasiliano na mama yangu kwa sababu ya maneno ya kejeli ya mara kwa mara

Katika ukuaji wangu mimi na mama yangu hatujawahi kuwa na uhusiano mzuri. Mara kwa mara amekuwa akinitamkia maneno ya kejeli na yeye chuki hadi nikawa najiuliza huyu ni mama yangu kweli?

Nimevumili kwa muda mrefu tangu nikiwa mdogo na maneno yale yalijenga chuki na kuweka sumu kwangu nikawa najiweka naye mbali hata shule ikifungwa sitamani kurudi nyumbani. Mama yeye ni mweupe ila baba mweusi sasa kwa bahati mbaya nikachukua rangi ya baba. Kuna wakati alikuwa akinikana mbele za watu kuwa mimi si mwanae kwa sababu hatujafafanana ikanibidi nianze kutumia cream niwe mweupe kama yeye labda hali itapungua.

Kuna muda nikaanza kunywa na vidonge vyakupungua lakini baadae nikaja kujikubali nikaona ni ujinga. Siwezi kumlazimisha mtu anipende nilivyojipata nikaondoka nyumbani na kuanza kujitegemea sijawi kurudi nyumbani ila nikawa napiga simu kuwajulia hali. Mara ya mwisho nilipiga simu nikawa naongea na mama akaniambia "Nimekuona umejiposti status, sasa na hilo li mwili mwanaume gani atakubali kukuoa? Embu pungua bwana upate mume." Nilimkatia simu nikaanza kulia mwenyewe.

Ile ndo ilikuwa mara ya mwisho kuwasiliana nae. Nilimblock na sijawahi kwenda nyumbani wala kupiga simu kuwajulia hali. Enough is enough.

Watu wengi hawajui madhara ya maneno ya chuki yanayotamkwa mara kwa mara. Kwangu mimi, madhara hayakuwa majeraha ya kuonekana kwa macho; yalikuwa ni majeraha ya kisaikolojia.
  • Kujichukia: Maneno yake yalinifanya niogope kujiangalia kwenye kioo. Nilijiona sifai na kujichukia kwa jinsi nilivyoumbwa.
  • Kupoteza Kujiamini: Nilianza kuamini kwamba rangi yangu na uzito wangu ni kikwazo cha mimi kupendwa au kukubalika katika jamii. Kauli za mama ziliniulia ujasiri kabisa na kwa muda mrefu nikawa na struggle na self identity.
  • Msongo wa Mawazo: Nilijenga ukuta wa upweke na kuishi kwa hofu, nikiwaza kuwa ulimwengu mzima unanitazama kwa jicho lile lile la dharau alilokuwa nalo mama yangu.
Sasa naishi peke yangu. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, ninasikiliza ukimya wenye amani badala ya sauti za kuniponda. Nimejifunza kuipenda ngozi yangu na kuukubali mwili wangu. Kujitenga naye halikuwa kosa, bali ilikuwa ni njia pekee ya kuokoa maisha yangu na kulinda afya yangu ya akili. Mwisho wa siku, thamani yangu haipimwi kwa maneno ya chuki, bali kwa jinsi ninavyojithamini mimi mwenyewe.
As long as you're comfortable kata mawasiliano kaa naye mbali kabisa mtakutana kwenye matukio ya kifamilia usijenge naye chuki akikutafuta ongea naye vizuri (masikio hayazidi kichwa).
 
Ni mama yako tu. Msamehe huyo
 
mimi mwenyewe mama yangu ni mtu mwenye kejeli sana na kashfa za hapa na pale, lakini ukweli unabaki pale pale kila kitu alichonacho mimi ndie nimempa japo vingine namnunulia anauza, cha ajabu hata ukimnunulia nguo nzuri avae apendeze anauza, nimeamua kuyabeba madhaifu yake ili nimtoe kwenye dhiki..
 
Katika ukuaji wangu mimi na mama yangu hatujawahi kuwa na uhusiano mzuri. Mara kwa mara amekuwa akinitamkia maneno ya kejeli na yeye chuki hadi nikawa najiuliza huyu ni mama yangu kweli?

Nimevumili kwa muda mrefu tangu nikiwa mdogo na maneno yale yalijenga chuki na kuweka sumu kwangu nikawa najiweka naye mbali hata shule ikifungwa sitamani kurudi nyumbani. Mama yeye ni mweupe ila baba mweusi sasa kwa bahati mbaya nikachukua rangi ya baba. Kuna wakati alikuwa akinikana mbele za watu kuwa mimi si mwanae kwa sababu hatujafafanana ikanibidi nianze kutumia cream niwe mweupe kama yeye labda hali itapungua.

Kuna muda nikaanza kunywa na vidonge vyakupungua lakini baadae nikaja kujikubali nikaona ni ujinga. Siwezi kumlazimisha mtu anipende nilivyojipata nikaondoka nyumbani na kuanza kujitegemea sijawi kurudi nyumbani ila nikawa napiga simu kuwajulia hali. Mara ya mwisho nilipiga simu nikawa naongea na mama akaniambia "Nimekuona umejiposti status, sasa na hilo li mwili mwanaume gani atakubali kukuoa? Embu pungua bwana upate mume." Nilimkatia simu nikaanza kulia mwenyewe.

Ile ndo ilikuwa mara ya mwisho kuwasiliana nae. Nilimblock na sijawahi kwenda nyumbani wala kupiga simu kuwajulia hali. Enough is enough.

Watu wengi hawajui madhara ya maneno ya chuki yanayotamkwa mara kwa mara. Kwangu mimi, madhara hayakuwa majeraha ya kuonekana kwa macho; yalikuwa ni majeraha ya kisaikolojia.
  • Kujichukia: Maneno yake yalinifanya niogope kujiangalia kwenye kioo. Nilijiona sifai na kujichukia kwa jinsi nilivyoumbwa.
  • Kupoteza Kujiamini: Nilianza kuamini kwamba rangi yangu na uzito wangu ni kikwazo cha mimi kupendwa au kukubalika katika jamii. Kauli za mama ziliniulia ujasiri kabisa na kwa muda mrefu nikawa na struggle na self identity.
  • Msongo wa Mawazo: Nilijenga ukuta wa upweke na kuishi kwa hofu, nikiwaza kuwa ulimwengu mzima unanitazama kwa jicho lile lile la dharau alilokuwa nalo mama yangu.
Sasa naishi peke yangu. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, ninasikiliza ukimya wenye amani badala ya sauti za kuniponda. Nimejifunza kuipenda ngozi yangu na kuukubali mwili wangu. Kujitenga naye halikuwa kosa, bali ilikuwa ni njia pekee ya kuokoa maisha yangu na kulinda afya yangu ya akili. Mwisho wa siku, thamani yangu haipimwi kwa maneno ya chuki, bali kwa jinsi ninavyojithamini mimi mwenyewe.
Take it easy
Kwanza upo wapi?. Nikauliza hivyo kwa lengo la kushughulikia hiyo changamoto ya upweke.
 
Umesahau kingne ulichokata tofauti na mawasiliano
-HAPO UMEKATA BARAKA NA NEEMA ZA WAZAZI WAKO KWAKO.

dunia itakuandama hadi siku akili ikikukaa sawa!

sijakulaani bali nakwambia.
 
Ivi inakuaje mama anamchukia mtoto wakati alibeba mimba akazaa kwa uchungu me nilijua baba ndo anakuaga kauzu, bandidu jina lao zuri ni dingi, Sasa mama anakua kauzu tena kwa mwanae kweli Dunia sio Duara.
 
Umesahau kingne ulichokata tofauti na mawasiliano
-HAPO UMEKATA BARAKA NA NEEMA ZA WAZAZI WAKO KWAKO.

dunia itakuandama hadi siku akili ikikukaa sawa!

sijakulaani bali nakwambia.
Mkuu, aliyeanza kuzingua ni mama sio mtoto yaani mama anampotezea mtoto ingekuwa mtoto ndo kaanza hapo sawa inaonekana mama mtata hapo wakikutana wawili hakuna maelewano kila mmoja anajiona yupo sawa nadhani kiitishwe kikao awepo msuluhishi (kiongozi wa ukoo) au Mzee yeyote mwenye hekima watatue iyo changamoto.
 
So the same to what happened to Michael Jackson?
Niliwahi kusikia kuwa Michael Jackson alijitetea kwa kusema kuwa Aliyesababisha ajichubue ngozi na kuchonga pua ni Baba yake mzazi
....siku moja alimwambia:

"Una pua kubwa mbaya kuliko wanangu wote...you are the different Jackson"

Sasa sijui ni Uzushi na umbea? 🤣

Anyway....pole sana.
 
Mzazi hakosei, tafuta mda ukae nae uongee nae
Siyo kweli,
“Children, obey your parents in the Lord: for this is right. Honour thy father and mother; which is the first commandment with promise; that it may be well with thee, and thou mayest live long on the earth. And, ye fathers, provoke not your children to wrath: but bring them up in the nurture and admonition of the Lord.”
‭‭Ephesians‬ ‭6‬:‭1‬-‭4‬ ‭KJV‬‬
 
Msamehe bure, uzee unaingia kwa njia nyingi..endelea kumtafuta jenga upendo kwa mzazi wako upate baraka zake...Kwani Baba yako anasemaje?Je, wewe ni mtoto pekee, wadogo zako au wakubwa anaongea nao vipi...Yote kwa Yote tafuta hela, Hela inakuweka karibu na mzazi na hutosikia kauli kama hzo.
 
Naelewa unachokipitia.
Kuna wazazi wana maneno mabaya mno.
Umesahau na hawa wazazi mafriji hayagandishi asione umenunua kakiwanja mtaa na ndugu wote watajua.
Maisha ni vita sio kila mtu wakumshirisha maisha yako.
 
Jikubali kama ulivyo usiogope! Kuna kitu chema ambacho Mungu amekuandalia ambacho hatimaye Mama yako atakuona wa thamani kuliko watoto wenzako.
 
Mama yeye ni mweupe ila baba mweusi sasa kwa bahati mbaya nikachukua rangi ya baba.
Huenda mama yako ana sababu za msingi kama hii ndio mentality yako. Yaani wewe kuchukua rangi ya baba yako unaita bahati mbaya? Kwamba mama yako alikubali kuolewa na bahati mbaya? Akakuzaa wewe kwa kulala na bahati mbaya?

Umejiuliza kuwa mama yako anampenda huyo unaemuita bahati mbaya? Au huwa unamwambia aliolewa na baba yako mweusi kwa bahati mbaya pia?

Mama yako ana mentality ya black is handsome, wewe una mentality ya black is bahati mbaya. Mtaelewana vipi hapo?

By the way, mie ni mweusi wa Musoma. Huenda mweusi kuliko baba yako. Makamu mwenyekiti wa CCM kwetu ni mweupe sana ukitulinganisha
 
Katika ukuaji wangu mimi na mama yangu hatujawahi kuwa na uhusiano mzuri. Mara kwa mara amekuwa akinitamkia maneno ya kejeli na yeye chuki hadi nikawa najiuliza huyu ni mama yangu kweli?

Nimevumili kwa muda mrefu tangu nikiwa mdogo na maneno yale yalijenga chuki na kuweka sumu kwangu nikawa najiweka naye mbali hata shule ikifungwa sitamani kurudi nyumbani. Mama yeye ni mweupe ila baba mweusi sasa kwa bahati mbaya nikachukua rangi ya baba. Kuna wakati alikuwa akinikana mbele za watu kuwa mimi si mwanae kwa sababu hatujafafanana ikanibidi nianze kutumia cream niwe mweupe kama yeye labda hali itapungua.

Kuna muda nikaanza kunywa na vidonge vyakupungua lakini baadae nikaja kujikubali nikaona ni ujinga. Siwezi kumlazimisha mtu anipende nilivyojipata nikaondoka nyumbani na kuanza kujitegemea sijawi kurudi nyumbani ila nikawa napiga simu kuwajulia hali. Mara ya mwisho nilipiga simu nikawa naongea na mama akaniambia "Nimekuona umejiposti status, sasa na hilo li mwili mwanaume gani atakubali kukuoa? Embu pungua bwana upate mume." Nilimkatia simu nikaanza kulia mwenyewe.

Ile ndo ilikuwa mara ya mwisho kuwasiliana nae. Nilimblock na sijawahi kwenda nyumbani wala kupiga simu kuwajulia hali. Enough is enough.

Watu wengi hawajui madhara ya maneno ya chuki yanayotamkwa mara kwa mara. Kwangu mimi, madhara hayakuwa majeraha ya kuonekana kwa macho; yalikuwa ni majeraha ya kisaikolojia.
  • Kujichukia: Maneno yake yalinifanya niogope kujiangalia kwenye kioo. Nilijiona sifai na kujichukia kwa jinsi nilivyoumbwa.
  • Kupoteza Kujiamini: Nilianza kuamini kwamba rangi yangu na uzito wangu ni kikwazo cha mimi kupendwa au kukubalika katika jamii. Kauli za mama ziliniulia ujasiri kabisa na kwa muda mrefu nikawa na struggle na self identity.
  • Msongo wa Mawazo: Nilijenga ukuta wa upweke na kuishi kwa hofu, nikiwaza kuwa ulimwengu mzima unanitazama kwa jicho lile lile la dharau alilokuwa nalo mama yangu.
Sasa naishi peke yangu. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, ninasikiliza ukimya wenye amani badala ya sauti za kuniponda. Nimejifunza kuipenda ngozi yangu na kuukubali mwili wangu. Kujitenga naye halikuwa kosa, bali ilikuwa ni njia pekee ya kuokoa maisha yangu na kulinda afya yangu ya akili. Mwisho wa siku, thamani yangu haipimwi kwa maneno ya chuki, bali kwa jinsi ninavyojithamini mimi mwenyewe.
Daaaaa kweli duniani Kuna mengi
 
Back
Top Bottom