NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja.
Sasa basi mimi nimeona katika dunia ya sasa internet imetufanya tuwe kama kijiji especially kwenye mambo ya biashara za kuagizo vitu online.
Ni masoko gani ya mitandaoni mazuri ya kuagiza nguo, tuchukue tagadhari zipi, kwa wale wenye bajeti za kawaida tunapataje nguo quality, n.k.