Nimekata tamaa, nimepigika, nimeteswa, nimedharauliwa, nimeumizwa, sasa basi!

sasa brother ulitaka matatizo hayo yakumte nani ndo mungu alivyokuandikia hvo pambana kunywa pombe fanya yote na ukimwi ukipata poa na ukifa tutakuzika kaka ndo dunia hii mjomba athumani
 
Oya mwanangu, pole sana.

Ww si umeshawasomesha na kujua tabia zao?

Si umekua ukimtumia hela mama na kumjaki lkn hakuthamini?

Si mkeo anakudharau na kukukejeri?

Si una kazi yako nzuri tu ya kukupa pesa?

Sasa mwanaume mwenzangu fanya ivi;

1. Sitisha misaada yote kwa ndugu zako.
2. Sitisha msaada kwa mama yako mpaka pale atakapojua umuhimu wako. Hapa nakazia mpaka atakapojua umuhimu wako na uendelee kumsaidia.
3. Huyo mke piga chini asije kukuua. Kama unataka mwanamke nenda kijijini uoe housewie uendelee kula maisha.
4. Nunua usafiri eg gari, pikipiki uwe unafanya tour za hapa na pale ku refresh mind.
5. Jiwekezee jwa kununua mashamba, viwanja na miradi ya hapa na pale.

Kazi ufanye ww, kuwasaidie uwasaidie ww, kukudharau wakudharau ww. Mxxxx
 
sasa brother ulitaka matatizo hayo yakumte nani ndo mungu alivyokuandikia hvo pambana kunywa pombe fanya yote na ukimwi ukipata poa na ukifa tutakuzika kaka ndo dunia hii mjomba athumani
🤣🤣🤣
 
Mkuu usibadilike be who ur. Hivo ndio unaweza zaidi na umefika mbali kwa hivo ulivyo,ukichange utajuta,maana kurudi kwenye reli itakuwa too late.
Sasa angalia maisha yako zaidi, imarisha ngome yako,za wadogo zako zinatosha jiachie kutoka kwao. Furahia pesa yako kwa kuenjoy, tafuta furaha yako, p'se furaha haipo kwenye pombe,wanawake na the like.utachekwa zaidi na wadogo zako maana utakuwa umepotea kiuchumi,kimaadili na hata responsibility.(utadharaulika)
 
Kunywa pombe na kuvuta sigara mpaka mapafu yakukuome na kulala kwenye madanguro unaweza kuja kujuta bila kujijua mwenyewe. Chamsingi ungeinverst Kwa watoto wako na investment zako binafsi je kesho ukiachishwa kazi itakuwaje. Kuna watu wanadhalilika BAada ya kuachishwa kazi

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Huu ushauri mzuri
 
👍👍
 
Thumb Up👍
 
Una kapepo mkuu kanataka kakuingize kwenye matatizo zaidi hasa ya kiafya huko ndo utatamani inter sumu upotee.

Niamin huko siko.!
 
Huo ushauri namba tatu unazidi kumpotosha, hiyo mentality ya wanawake wa vijijini ndio wanafaa kuolewa kwa sababu ya ushamba wao ni ya miaka ya 80 kurudi nyuma....huu ni ulimwengu wa IOS, android nk... asijaribu hiyo kitu, atakuja juta.

...atafute mwanamke anayejielewa na mwenye hofu ya kweli ya Mungu •full stop......tatizo ni kwamba sisi wanaume % kubwa yetu hatujielewi na hatumjui Mungu ......halafu tunataka aina hiyo ya mwanamke (ngumu sanaa) . ..
 
Uamuzi uliochukua ni sahihi ila fanya kistaarabu, kua makini na afya yako
 
Hata kama hutaki ushauri utapewa tuu..kwanza kama ulikuwa hujui ni kwamba hayo yote yamekukuta ulikuwa ni mtego wa shetani ili uingie kwenye ulevi na umalaya mwisho ufe uende motoni..rudi nyuma ukatubu dhambi zako na uanze maisha yako ya kumpendeza Mungu.

Usije kurudia tena kujaribu kutaka kufurahisha watu ,HUTAWEZA FURAHI MWENYEWE CIZ MAISHA NI MAFUPI
 
Take your life mkuu trust me utapunguza pain

Mimi mwaka 2016 nilikunywa dawa ya kuua wadudu wa kahawa nina miaka 6 toka nife ni burudani mkuu
 
Duuh asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…