Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Mzee Umepata Mdaa Wa Kutembelea kwenye Mahodi ya Mahospitali, vituo vya Watoto yatima, Mzee Kuna Watu Wanamatatizo Makubwa Yako yaweza kuwa Madogo Ila Bado Wanapambania Uhai Wao Daily Ili Wa Survive.
Nimepata muda huo wakufatilia mikasa mingi sana wa mwisho ni wa binti wa yombo mwenye TB ya mifupa lakini tupo tofautibkwenye kuhandle matatzo nadhani unalijua hilo nimeandika uzi huu nipate watu hatujuani wanaoweza nipa tiba yaa akili ama moyo labda inaweza sidia kuondokana na shetani huyu..asante
 
Jitekeee hamia chadema halafu ujitekee halafu useme nimetekwa nawatu wasiojulikana na hao watu wanataka ml 100 zikitolewa tu unahamia nkoa mwingine au jiuze kwa wsmama tafuta wanaume wanaojua wanawake wahivyoo wanaohitaji pampuuu.
Kujiuza ndio kazi ukishindwa basi jiue
 
Umejuaje au ndio unataka kutushauri tumchangie?
 
- Kukata tamaa ni dhambi.
- matatzo yapo tu na yananjia za kutatulika.
- mtoto wako pia hyo laana ya kujiua utamtesa sana, ish kwa ajir ya mwanao.
kama ni ugomv wa kifamly unaweza kusafiri mbali uka refresh mind. dunia tam ndugu yang nikikumbka fukwe za zanzibar.

mwisho wew ni kidume(solder) pambana kufa na kupona mpka tone la mwisho
 
Unamuachaje huyo mtoto yatima? Unawezaje kukata tamaa ingali unakiumbe kinachokutegemea wewe?? Sasa kama ukiondoka huyo mtoto na mama yake si ndo maisha yatakua magumu maradufu
Baki Kwa ajili ya mtoto wako
 
Ungeeleza kinaga ubaga nini hasa kimepelekea wewe kuwa na hali hiyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…