Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Huyu atakuwa wamemkamata ugoni wakamnanilii ushauli hama mji mtaa hamia eneo wasilokujua Anza maisha kujiua ni umama
 
Naomba unitafute kama hutojali kwa namna yoyote ile niko tayari tuzungumze
 
duuh jamaa sahivi wazo la kuwahi mbele za haki limekwisha muisha naona mmemsaidia kumtoa kwenye reli, seleman kapige gambe maisha yaendelee kama ulivyoahidiwa, mtoto wako mpe kipaumbele kabla hujajiwazia hata wewe.
 
Wimbi la watu kujikatili maisha limetamalaki JF why?
 
Kwa vile X anadhamiria kujitoa uhai wake kwa hiari, aache Jina lake halisi, X, ili akifanikiwa tuwe na taarifa kwamba keshakuwa mwendazake kwa vile habari hii itatangazwa karibu na vyombo vyote vya habari. Polisi pia itatoa tangazo rasmi kuhusu X kujitoa uhai. Kwa vile bado anao muda mfupi wa kuishi, basi tumtakie Safari njema huko aendako afike salama salmini.
 
yangu yali kuwa tofauti Sana mkuu, na nili kuwa dogo kabisa ndani ya zizi la mbwa mwitu!.

Imagine una sumbuana na ndugu wa marehemu mzee wako, licha ya kuwa Ume pata hela, nyumba, biashara ila huvi furahii
Sawa, nilichomaanisha matatizo yanatokea.
Yawezekana jamaa ameshindwa kujieleza kwa uwazi kwa kuhofia aibu au kejeri.
 
Umekosea sana kutafuta ushauri humu. Humu Kuna wapumbavu na wenye low IQ 96% , na wenye hekima , wenye busara, wenye akili, wenye kujali, wenye upendo, wenye msaada na wenye IQ above normal kama Mimi 4%

Nakushaur usisome hata koment.

Ushauri wa unayopitia: nione haraka pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…