Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Tunakosea sana kujifunza kwa drama na quotes ila situation n tofauti nimepta na mengi kwenye kutafuta mpaka unaweza kuhisi n story ila depression ni strong sana ushaur wako n mzuri unawezakuwa applicable kwenye situations flan.
 
Kama umeshajaribu zaid ya mara 4, hamna msaada utakaoupata humu ndani.
Kazi kwako kuamua.
 
Mtu anaejiua huwa hasemi ,,,,, tangulia mkuu nasi twaja,,,Dunia haina huruma kabisa hiI, imevaa bukta! Waliopo serikalini wanasema jiajirini,hao hao tena wanasema nendeni veta ,,,, Wape Salaam kina Nyerere na mkapa ukifanikiwa kuwaona , bila kumsahau mzee ruksa,,, ah yule mwingine mkaushie
 
Tunakosea sana kujifunza kwa drama na quotes ila situation n tofauti nimepta na mengi kwenye kutafuta mpaka unaweza kuhisi n story ila depression ni strong sana ushaur wako n mzuri unawezakuwa applicable kwenye situations flan.
Nadhan Nimegundua kitu kimoja ambacho seleman_fox unacho brother....

Wewe ni Mbishi...

Naomba ujue kuwa kuna mtu mwingine sehem Nyingne ana upeo , ushauri, uwezo, akili zaid yako.
Unavyoambiwa share ni kwasababu watu wanataka kujua nn unapitia,
Ila naona hoja hii umeidefend sana,
Unataka tu watu wajue Maisha yamekushinda na unataka kijileftisha..

Ndio maana wengine wamesema meng ya kukukashifu..

Ila Nikuambie tu, hakuna Shida inayodumu, na pia wanaokoa watu kwenye Shida ni watu ambao wanatumwa na Mungu (kuguswa).

Sasa ww unakataa kushare , unahisi nani ataguswa?
 
Binti yako bado anakuhitaji wazazi ndugu na jamaa fikiria simanzi utakayowaachia.Kemea hiyo roho kwa kusali roho ya kutaka kujiua na kujiona hauna thamani.Sali na Mwenyezi Mungu atakupa nuru
 
Mkuu punguza watu kwenye akili yako live as one and only man born in the jungle.In that way you wlii feel and gain beast spirit. Maisha ni vita unaweza kuwaza kujiua au kujiua kabisa unaporuhusu kuogopa aibu, kushindwa na kifo.

Ziambie shida au hiyo hofu ya kifo kwamba are such piece of shits, maza faka nakwamb are not such big to take over destiny.
Kuwa na akili ya kinyama kama mjeda aliyekamatwa na adui halaf kateswa kias cha kutosha na anatishiwa kifo kwamba hata akilia hawawez msamehe so lazma ufe kijeuri jeuri.

Saiv acha kumwaza mtoto wako labda iwe inakupa nguvu na ukiweza asume kama hujazaa ili uupiganie uhai moyoni mwako.

NB: kama hiyo stori ni chai lakin kuna watu wengi sana waliofika ktk hali kama hiyo.
 
Kweli unaogopa maisha mpaka unawaza kuyakimbia kwa kujitoa roho?
Nenda kazuru mahospitali na makaburini kwanza

Sijaona shida yako hapo bali ni depression tu

Hakuna haja ya kujiua
Msongo wa mawazo upo sana kwa binadamu na hata mimi nilipitia ila nilirudi home kubadili hali ya hewa

Ondoka hapo ulipo nenda katafute baraka nyumbani huenda shida iko huko

Ila usiitoe hiyo nafsi haina kosa
 
Wazo lakuishi kama sijawahi emerge kwny haya maisha ndo huwa naona linaweza kuniweka sawa sober yakujitafuta upya sehemu mpya kwenye sura mpya tatzo mpaka sasa sijapata uelekeo maana nmepoteza kila kitu maana mama mtoro kuna muda kama hatuongei lugha moja anachukulia vitu poa…ushauri mzuri upande wangu asante
 
Akili ikitulia nakuona inafaa italeta njia ntaiweka hapa asante
 
Mkuu ktk situation kama never fight alongside with waman never never ever.

Kwanza uwe makin kuwa mbali naye kisaikolojia na kimwili ikibid otherwise unaweza kumuumiza au kuua labsaa.

Hiyo ni hatar sana kuwa karbu na watu wasiosoma nyakati.

Kama vip assume kama ndo umekufa tayari nakwamba unaanza kufufuka acha kuwaza marafiki, wazaz wala chochote in past.
Kama utapata watu acha waje ambao Mungu amewapa roho ya kuchukulina nawew otherwise assume ua alone.
Punguza kuwasaliana na wanoko wanoko au futa namba zao kabsaa.

Maana kama vile ambavyo ungekufa usinge ongea nao vivyo hivyo keep them away.

Mungu hatakuacha na ataleta akina simon mkirene hata kama hatawaleta bhas atajua atakscho kifanya mwenyew. But the beast for good.
 
Hapaswi Mtu kuzikatia tamaa Rehma za Mola Mlezi., Ishi kwa kuridhika, hutopata zaid ya ulichoandikiwa regadless njia gani utapita.

Akhera si pazuri kama watu wanavyodhan, kule kuna maisha halisi aidha ya Adhabu au ya Starehe, inategemea vipi uliishi na vipi ulimalizia umri wako.
Kujiua ni katika Madhambi makubwa, na wataadhibiwa watu kutokana na hilo.

Tazama upya maamuzi yako, na Moula Mlezi hakukuumba kwa hayo unayoyakimbiza, Ishi kwa lile lengo uliloumbiwa kwalo, utajifunza kukinahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…