Aisee siwezi kijiua mimi. Hasa kwa sababu za kimapenzi haitatokeaNdio usikate tamaa ya maisha kiasi hicho mkuu weka namba ya siku tukuchangie kiasi zitakupa faraja angalau ubadirishe maamuzi ya kujipiga kitanzi kwa kutumia chandalua
Tatizo lake ni pesa soma ile nyuzi anasema anahitaji mtaji wa 5 million au we kusoma haujui?Na wewe umejuaje ni pesa anahitaji?
Umepata muda wa kupitia nyuzi zake ukaona anahitaji pesa?
Kila mtu ana mtazamo wake...sio kila mtu tatizo lake namba moja ni pesa,sio kila mtu ni masikini
Pole... Yatapita mkuu hakuna kitu ambacho huduma mileleNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
USIKATE TAMAA NDUGU ZAKO TUPO KUJA PM TUSAIDIANE TUSHAURIANE TULIWAZANE HAKIKA HUTAJUTANimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Ndio usijue mkuu tunakupenda sana humu jukwaani mkuu km ni Shetani mwambie asubirie kwanza tupo site asikushawishi kufanya ujinga huoAisee siwezi kijiua mimi. Hasa kwa sababu za kimapenzi haitatokea
Tatizo lake ni pesa soma ile nyuzi anasema anahitaji mtaji wa 5 million au we kusoma haujui?
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
SomaSijui kusoma wala kuandika
Sasa hii million 5 kwanini sisi tusimpatie km mtaji umsogeze na kumuondolea hayo mawazo ya kujiua?Nimemwambia anipe mil 5 tu kama mtaji,
Shida iko hapo dada kuwa mtulivu sio unalia kila siku kutaka huruma za walimwengu wakati shida ni wewe.Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha
wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol 2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri...www.jamiiforums.com
UjingaNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Wee kufa tuu watoto watajinua wenyewe.Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Lakini madam hii mimba ya miezi 8 ni toka mwaka jana October inakuwaje inabaki hivyo hujazaa? Kuna uzi wako uliweka August ukasema una mimba ya miezi 8Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Ebu fikiria tena, wewe mtu mzima unawaza kujiua halafu hayo mateso uwaachie watoto wadogo kweli?Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Sasa huko unakoenda baada ya kujiua ndo huyo mtoto wa 3yrs utaenda nae? Na huyo anaesoma ukijiua ndo atakuwa amemaliza shule?Naenda kwa rafiki nan na tumbo, na mtoto wa 3yrs, na mwingine miaka 10 anasoma
Nimepitia nyuzi zake za nyuma, tatizo linaanzia kwake sio kwa mumewe.Naelewa vizuri haya mambo. Naamini sijakosea sana
Shida kiukweli iko kwake. Apigane na pepo ama roho flani hivi inayomsumbua. Sababu yote anayoyalalamikia hayana mashiko kivile ukilinganisha na mapito ya ndoa zingine. Mabadiliko ya kupata amani yaanze na yeye kujichunguza na kujirekebisha. Huenda ni mtu mwenye gubu sana, hana dogo, kidogo tu kukimbilia kusema tuachane, nkHuyu madam kaanza kulalamikia mapenzi tangu 2014 huko,kwa kuangalia nyuzi zake
Upendo wako unaweza kuhamishia kwa watoto wako...focus kwenye kazi,afya yako na watoto wako,sali sana,jali muonekano wako na jitahidi kuacha hii tabia kama bado unayo Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha
Pole