Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ya maisha

Ndio usikate tamaa ya maisha kiasi hicho mkuu weka namba ya siku tukuchangie kiasi zitakupa faraja angalau ubadirishe maamuzi ya kujipiga kitanzi kwa kutumia chandalua
Aisee siwezi kijiua mimi. Hasa kwa sababu za kimapenzi haitatokea
 
Na wewe umejuaje ni pesa anahitaji?
Umepata muda wa kupitia nyuzi zake ukaona anahitaji pesa?

Kila mtu ana mtazamo wake...sio kila mtu tatizo lake namba moja ni pesa,sio kila mtu ni masikini
Tatizo lake ni pesa soma ile nyuzi anasema anahitaji mtaji wa 5 million au we kusoma haujui?
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Pole... Yatapita mkuu hakuna kitu ambacho huduma milele
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
USIKATE TAMAA NDUGU ZAKO TUPO KUJA PM TUSAIDIANE TUSHAURIANE TULIWAZANE HAKIKA HUTAJUTA
 
Aisee siwezi kijiua mimi. Hasa kwa sababu za kimapenzi haitatokea
Ndio usijue mkuu tunakupenda sana humu jukwaani mkuu km ni Shetani mwambie asubirie kwanza tupo site asikushawishi kufanya ujinga huo
 
Kwa sasa elekeza maisha yako katika kulea wanao kufanya kazi na kumpenda mungu mambo ya mahaba waachie wahindi na wafilipino
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?

Bado unaweza kuishi
Bado unaweza kutimiza ndoto zako
Bado unaweza kufanya mambo makubwa mazuri aliyokukusudia Mungu

Mwenyezi Mungu akupe imani na amani ya kutazama changamoto zako kwa jicho la tatu.

Kujiua ni kukubali kushindwa.
 
Shida iko hapo dada kuwa mtulivu sio unalia kila siku kutaka huruma za walimwengu wakati shida ni wewe.
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Ujinga
 
Wee kufa tuu watoto watajinua wenyewe.
Vipi nije nikusaidie tufe pamoja maana ata mie hili life lishanichosha, kila leo nyeto ya mlenda vuguvugu hapana bwana
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Lakini madam hii mimba ya miezi 8 ni toka mwaka jana October inakuwaje inabaki hivyo hujazaa? Kuna uzi wako uliweka August ukasema una mimba ya miezi 8
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Ebu fikiria tena, wewe mtu mzima unawaza kujiua halafu hayo mateso uwaachie watoto wadogo kweli?
Kama mateso unawezà kuwaachia watoto wako nào nani àtawaua au nao wakiteseka wajiue?
Wewe ni mbinafsi sana kuwaza kuhamishia mateso yako kwa watoto wasio na hatia.
Pambania maisha yako uje ufe wakati wako siyo kuhamisha mateso kwa watoto.
 
Naenda kwa rafiki nan na tumbo, na mtoto wa 3yrs, na mwingine miaka 10 anasoma
Sasa huko unakoenda baada ya kujiua ndo huyo mtoto wa 3yrs utaenda nae? Na huyo anaesoma ukijiua ndo atakuwa amemaliza shule?
Wewe eleza tàtizo nini na mumeo tukusaidie. Jf kuna majibu yote hata pm tutakuja baada ya kujua tatizo.
 
Naelewa vizuri haya mambo. Naamini sijakosea sana
Nimepitia nyuzi zake za nyuma, tatizo linaanzia kwake sio kwa mumewe.
Pesa na shughuli ya kufanya sidhani kama ni shida kwake ila mbongo kidogo ina hitilafu.
 
Huyu madam kaanza kulalamikia mapenzi tangu 2014 huko,kwa kuangalia nyuzi zake

Upendo wako unaweza kuhamishia kwa watoto wako...focus kwenye kazi,afya yako na watoto wako,sali sana,jali muonekano wako na jitahidi kuacha hii tabia kama bado unayo Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Pole
Shida kiukweli iko kwake. Apigane na pepo ama roho flani hivi inayomsumbua. Sababu yote anayoyalalamikia hayana mashiko kivile ukilinganisha na mapito ya ndoa zingine. Mabadiliko ya kupata amani yaanze na yeye kujichunguza na kujirekebisha. Huenda ni mtu mwenye gubu sana, hana dogo, kidogo tu kukimbilia kusema tuachane, nk
 
Pole sana, Roho ya mauti inakusumbua...

Kama ni Mkristo, omba tba na Rehema kwa ajili ya familia yako na mumeo wako na hata mume wako na mimba yako.

Kuna maagano yanakusumbua

Zaburi 51
 
Back
Top Bottom