Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Aisee siwezi kijiua mimi. Hasa kwa sababu za kimapenzi haitatokeaNdio usikate tamaa ya maisha kiasi hicho mkuu weka namba ya siku tukuchangie kiasi zitakupa faraja angalau ubadirishe maamuzi ya kujipiga kitanzi kwa kutumia chandalua