Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Mumeo inabidi awe karibu sana na wewe....Mimba inakuchanganya iyo.
Ni kawaida kwakuwa hormone zinavuragana
 
Yaani ujiue kwasababu ya mwanaume au sijaelewa?
Tatizo lako ni moja...huna kazi ya kufanya , huna hela. Tatua kwanza hilo tatizo halafu uone kama utalialia tena.
Pole sana mkuu ni mapito tu yatapita hayatobakia milele kwa hio sio lazima mpaka ujiue ndio matatizo yaishe unajiua unaongeza tatizo kwa watoto kuishi bila kua na mama ni tatizo lingine, pole sana mkuu weka namba yako ya simu nikuingizie chochote cha kukusaidia ili usijiue
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Polee usifikirie magumu peke yake kuna mengi mazur omba amani ya moyo
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Pole ndugu yangu baba mwwnye mimba yupo wapi??
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Usikate tamaa ndugu zako tupo. Njoo pm
 
Pole sana Kwa hayo unayopitia Mkuu

Tukubali, Kila Ndoa inapitia Mitihani yake.

Ni vile hujapata nafasi ya kusikia visa na mitihani ya wanandoa wengine

Ningependa nikuhakikishie, zipo ndoa zinapitia mengi kuliko hayo yako.

Kuna Mwanamke ameolewa na Mwanaume ambaye ni mlevi, huyo kuondoka asubuhi na kurudi saa 11 alfajiri ni kawaida yake

Kuna Mwanamke ameolewa na Mwanaume ambaye ni mlawiti, yeye haingii wanapotokea watoto. Ili kuridhika ni kila Siku lazima apite kule kwingine

Mwingine Mume wake asione sketi Mtaani, huyo ni Kila Mwanamke atatamani Kulala naye sio baa medi, Dada wa kazi, mfanyakazi ofisini kwao n.k

Mwingine ndiyo ameolewa na Mume ambaye harudi nyumbani hadi mshahara wake uishe Kwa kutumia huko nje na Malaya,marafiki n.k

Mimi nafikiri, kama kuna nafasi omba ruhusa Kwa Mumeo uende ukapumzike Mkoa wowote japo Kwa Siku mbili tatu, wakati huo ukapige magoti Kwa Mungu wako na kumkabidhi huo msalaba

Pia unaweza kuomba kuongea na Wazee hasa wale waliokuwa washenga wa Mumeo wakati wa barua/mahari ili wakusaidie kuongea na Kijana wako

Ukishindwa kabisa omba talaka Kwa Mumeo ili upate nafasi ya kwenda kuanza upya maisha yako.

Maisha bado ni matamu pamoja na ups na down nyingi tuzipitiazo.

Mungu akutangulie katika mapito yako 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom