DOKEZO Nimekata tiketi VIP basi la Happy Nation, lakini halina huduma hadhi ya VIP. Naweza kulalamika wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Utapeli ni biashara kubwa na halali kabisa Tanzania.

Na nchi hii ni FAILED STATE. Mambo yanaendeshwa kwa CONNECTION, NETWORKING na LOBBYING.

Watu wa Mabus Wana Wana watu bungeni kwaajili ya kutetea mambo yao.


Biashara ya Bus - Shabiby, Tabasamu


Betting - Abbas Tarimba


Watoto wa vigogo na wake zao - Salima Kikwete.

Vituo vya Mafuta - Tabasamu


Wale wasio na watu wa kuwasemea huko nuu ndio WANAPIGIKA
 
Nlikatiwa hizi bus busines clas nikakutana na bus ngalangala nlianza safari saa9 usiku ilipofika saa4 mabasi ya saa12 yote yakatupita dom nlifika saa11badala ya saa7
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama nakuona ulivyofura kwa hasira huku unatukana na kujiona fala. Sema mabasi yanakera mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tahmeed wanajitahidi Kwa upande wa Mombasa,Dar,Arusha,Nairobi gari nzr ila yale yanayotoka Malaba kwenda Mombasa mabaya ya zamani
 
Wapigie latra, mtarudishiwa nauli

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
The next AN classic soon wata angukia pua dsm to mpanda walikuwa na gari nzur San pamba Kuna hizi mbili nyeupe zina waangusha nauli Wana toza VIP huduma uozoo hakuna USB charger kufanya kazi , gari njiani kuharibika haribika shida tupu wahudumu Wana kwambia USB zimepiga shoti waya gari Ina piga route daily in short waji tathimin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…