Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu

Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=

Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na EFD mashine au wanipe control number. Vita ikawa kûbwa.
Wakaniambia oooh! Machine NI Moja sijui eneo NI kûbwa
Nikawaambia hiyohiyo moja waje nayo Siku wakija kuchukua Pesa kwangu.
Ñàona wakaniona mtata wakaishia kunitisha.
Sijui niogope!

Nikawaambia wakamwambie mtendaji kuwa kuna kijana hataki kutoa Pesa ya taka na ulinzi Bila kuwa risiti za EFD au kulipia control number.

Hapa ndîo nimeletewa barua, nafikiri mchana nitaenda.

Nimewaambia sina tatizo na kutoa Pesa za ulinzi na Taka ila ninachohitaji EFD machine wanipe risiti au wanipe control number. Vinginevyo sitatoa

TRA Tanzania
Tunaomba muongozo katika suala hili la Pesa za ulinzi na taka zinazokusanywa huku mitaani. Je ni Halali Watu watoe Pesa za taka na ulinzi pasipo risiti za EFD?

Nataka kuuliza serikali za mitaa na serikali Kuu. NI Kwa nini hawa wanaochukua Pesa za takataka na ulinzi hawatoi risiti za EFD?

Robert Heriel
Sokomokoni
 
Nchi hii ukinyooka na kudai haki wewe ni mtata. Hawa watu wa serikali za mitaa huwa hawana hoja wanaishia kusema yule jamaa mtata sana. Ukisikia yule jamaa ni mtata ujue anajitambua.
 
Dogo acha ujuaji ujuaji. Kuna mambo mengine unapotezea tu kuepukana na sintofaham za hapa na pale.

Kila mtu Tanzania ni mwizi na mpigaji kwenye nafasi yake.

Huo muda wa kuitikia wito ungefanya mambo mengine muhimu.

Potezea tu.
 
Umekuja kuchukua Pesa unaanza mikwala, mara vitisho.
Nakuletea Pesa nakuambia EFD machine Iko Wapi unanitolea macho.
Nakuambia au Una control number unakunja Sura.

Unaanza kubweka.
Nakuambia wewe kama umetoka serikali za mitaa Rudi waambie umesahau EFD machine. Unanikoromea.

Oooh! Machine ni Moja.
Nakuuliza nitajuaje hii Pesa huchukui wewe unanipa risiti ya kuandika.
Nakuambia hiyo risiti hata Mimi ninaweza kuchongesha unatoa povu

Unaniletea mgambo,
Nawauliza mgambo mmekuja kwangu kufuata nini na Kwa Kibali kipi? Wanaangaliana
 
Dogo acha ujuaji ujuaji. Kuna mambo mengine unapotezea tu kuepukana na sintofaham za hapa na pale.

Kila mtu Tanzania ni mwizi na mpigaji kwenye nafasi yake.

Huo muda wa kuitikia wito ungefanya mambo mengine muhimu.

Potezea tu.

Waambie TRA Tanzania huo ujûmbe wako siô Mimi.

Comment yako inaweza kûtumika popote hata mahakamani kama ushahidi WA Kwa nini nchi yetu NI Maskini.

Sina hakika na Elimu yako
 
Safi sana.
Mimi kulikua na mzee mmoja mlevi vbaya mno. Siku akijiskia anakujq na bajaji yake kua anakusanya uchafu kwaio anachuku 5000,. Nkanotice hyo hela hua anakuja kuchikua akijiskia kuzoa taka.
Kimya kimya nkatafta mtu mwingine anaekuja mara 4 kwa wiki kuchukua taka na namlipa li teni per month. Kwaio kila mzee mlevi akija namwambia nionyeshe taka ulizochukua nkulipe, hana majibu.
Akaenda kushtaki kwa mtendaji na bwana afya, nao wakaja resi. Nkawaambia mimi nipeni risiti ya efd niwape hela. Wakaleta mashine nkawalipa.
Tangu hapo hua akija namwambia leta risiti kwanza, unaona anasonya na kugeuza kimya kimya
 
Wabongo wàtakuambia Acha ujuaji na kumaindi Vitu vidogo. Potezea
Rob Pole na changamoto, kimsingi una haki ya kudai risiti ya efd kwenye taka kwa sababu kampuni zinazozoa zinatakiwa kuwa na efd machine, ulinzi mtaani hawana efd sijajua upo mkoa gani ila pia ipo shida kubwa ya upatikanaji wa hizo efd machine, imagine kata ina mitaa labda 7 ina efd moja, mara mtandao upo down, mara imeharibika na mengine mengi
Mjinga mpe cheo rob
 
Waambie TRA Tanzania huo ujûmbe wako siô Mimi.

Comment yako inaweza kûtumika popote hata mahakamani kama ushahidi WA Kwa nini nchi yetu NI Maskini.

Sina hakika na Elimu yako
Unafikiri elimu inamaliza ujinga wote?

Wengine ni PHD Holder lakini akili tena ya mambo ya kawaida unakuta anazidiwa na mimi form 4 failure
 
Back
Top Bottom