Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

Mimi kwangu nimewapiga marufuku mabalozi wa CCM kujileta oh sijui mimi mjumbe nataka nini na nini. Niliewaambia mimi sio CCM. Pili leo ofisini kana mtu wa serikali kudai hela ya mwenge namuuliza eh risiti napataje, anajikanyaga kanyaga. Basi tu aliyesema itoke ni boss mwenyewe ila nisingempa.
 
Mbona tumekuletea umeikataa na kusema haisomeki vizuri na imeandikwa kwa kiinglish?
NB;Hivi,DSM mkikatiwa risiti za makaratasi za EFD huoni kwamba mji wote utajaa uchafu wa makaratasi na kufunika anga lote?Tii mamlaka,mpe Kaizari yaliyo ya Kaizari.

Watoe control number kama NI hivyo
 
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=
Kila mwezi huwa nalipa 2000, ya uzoaji Taka, sababu kazi wanayofanya inaonekana, kila wiki hupita na gari lao kukusanya taka.

Si sawa kupingana na walio wengi, katika mtaa wako, hata kamaa kuna mahala hawako sawa (hii ndio busara).

Ndio unahoja ya msingi unataka risiti za EFD, lakini ulitakiwa kwanza kutoa ushirikiano lipa kiasi husika, Then fuatilia serikali za mtaa kupata ufafanuzi au mwongozo kwanini hujapewa risiti unayohitaji.
 
Back
Top Bottom