Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Yaani hiki wanachofanya ni wizi wa mchana kweupe. Hiyo transaction haitakiwi kukatwa zaidi ya Tsh 1000.Bora uende atm, afu umuwekee mtu
Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato.
5300 (NMB 4491.53 na Vat 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha.
Hongereni sana NMB Tanzania
Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato.
5300 (NMB 4491.53 na Vat 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha.
Hongereni sana NMB Tanzania
Binadamu wote siyo sawa. Yani iyo shilingi 5,300 unaona nyingiiiii. Mara ya kwanza niliposoma nilidhani umeandika umekatwa 5.3 millions kuhamisha Billion 5.Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato.
5300 (NMB 4491.53 na Vat 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha.
Hongereni sana NMB Tanzania
Nchemba na kundi lake lakuitikia ndio kila kituKwani hivyo viwango vya makato anayepanga ni NMB (benki) au ni zile tozo za miamala zilizowekwa na Nchemba?
Tulio wengi tupo hivi, heri yako wewe Bilionea! Ila jamani makato yamekuwa mengi mno, kila mahari ni makato tu!!Binadamu wote siyo sawa. Yani iyo shilingi 5,300 unaona nyingiiiii. Mara ya kwanza niliposoma nilidhani umeandika umekatwa 5.3 millions kuhamisha Billion 5.
Hoja hapa sio hiyo shs 5300, ishu ni kwamba hiyo ni zaidi ya asilimia 10 ya fedha iliyohamishwa.Binadamu wote siyo sawa. Yani iyo shilingi 5,300 unaona nyingiiiii. Mara ya kwanza niliposoma nilidhani umeandika umekatwa 5.3 millions kuhamisha Billion 5.
Asante mkuu. Shukran za dhati kuwa billionaire siyo mchezo.Tulio wengi tupo hivi, heri yako wewe Bilionea! Ila jamani makato yamekuwa mengi mno, kila mahari ni makato tu!!
Nimekupata mkuu 10% nyingi Sana angalau ingekuwa 2% kulingana na kipato Cha watanzania wengi. Yani wanashindana na Mungu kwenye makato kwasababu zaka lazima ukatwe 10% sasa nao eti wanaigaHoja hapa sio hiyo shs 5300, ishu ni kwamba hiyo ni zaidi ya asilimia 10 ya fedha iliyohamishwa.
Ni sawa na ukatwe zaidi ya 5m kwa kuhamisha 50m
Mazingira mengine hayana hizo ATM.Bora uende atm, afu umuwekee mtu
Hapana, ni makato ya kuhamisha peke yake.Angalia Kwa Makini labda kuna huduma umejiunga haujui mfano (send to save)