Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Sasa mbona watukana nchi yetu pendwa we chalii?Hizi bank zinatupelekesha zinavyotaka yani hawajali chochote. Wakiamua kupandisha transaction fee wapandisha tu wanavyojua. BOT kama regulatory body nao wamechill tu wavuja jasho tunaumia.
Hii nchi ni Shenzistan.