Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Soma email
Email nyingi, mchuano mkali, kuwa mpole nitakufikia!
Screenshot 2025-01-30 at 18.45.03.jpeg
 
Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “shangazi”.

Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao, nini nijiandae nacho na kuwa makini?

Mwenye kutaka kutupa karata yake:
shangazimambo@gmail.com
(vijana wa 2000 tu) [emoji28] ukianiandikia “Hi” instead of kujitambulisha na kuniambia why unanifaa - nakublock.

REJEA [emoji116]
Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike
karibu ushangazini mshangazi [emoji1]Theresa49
 
Back
Top Bottom