Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “shangazi”.

Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao, nini nijiandae nacho na kuwa makini?

Mwenye kutaka kutupa karata yake:
shangazimambo@gmail.com
(vijana wa 2000 tu) 😅 ukianiandikia “Hi” instead of kujitambulisha na kuniambia why unanifaa - nakublock.

REJEA 👇
Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike
Iwapo ungekidhi vya kuitwa Bibi,je ungetupa mrejesho?
 
Itabidi ni ji upgrade😂😂😂itakuwa nimechukua cheap labour
😹😹😹 Shem T nilikuwa namuona wa maana kumbe nae katuma email yake 🤣
Na anaomba isomwe na ijibiwe kwa wakati..!!
 
Asanteni vijana wote mlioshiriki ✍🏼🙏🏽

Kanda ya ziwa mpewe maua yenu 😍🔥🔥🔥 asanteni kwa kijana rijali, ananipagawisha sana 💦💦💧
 
Mohammed, wewe ni chaguo langu la pili. Hii email yako ilinilowesha sana 💦💦💦 na siwezi kuipost yote hapa watanifungia.

Ngoja nikimalizana na huyu mtoto wa Kagera, nitakuja Temeke unionyeshe kama yaliyomo yamo!
Aiiiiih Mohammed .png
 
Shangazi umejoin jf 2011 Mimi nilikua darasa la nne lkn status yako bado inasoma. *member "
Mimi juzi tu nimejoin humu sahizi ni Senior member.
Nimekuzid cheo😆
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto. Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako 😂 😆 .

Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
 
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto.
Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako 😂 😆 .
Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
Nimefurahi kujibu Tena text hii😂😂 shangazi umepanda vyeo viwili kwa mpigo😀 saa hii nakupigia salute.😀
 
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto. Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako 😂 😆 .
Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
Sema Nini turudi kule Gmail😃
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto. Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako 😂 😆 .
Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
 
Shangazi ni mwanamke aliyevuka umri wa usichana kuanzia miaka 30+ ni shangazi.

Ila vijana wa kudate na mashangazi wanaharibu hiyo sio tabia njema ni mmomonyoko wa maadili, ivyo si jambo jema.
 
Shangazi ni mwanamke aliyevuka umri wa usichana kuanzia miaka 30+ ni shangazi.

Ila vijana wa kudate na mashangazi wanaharibu hiyo sio tabia njema ni mmomonyoko wa maadili, ivyo si jambo jema.
Sasa sisi mashangazi wenye wanaume wenye visukari, bao moja la sekunde 40 kwa mwezi, tuko :uwotWater: na nani?
 
Back
Top Bottom