[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahSikomi bebiiii na mimi nataka kujaribu huo moto ninaosikia mnapelekewaga[emoji91][emoji91][emoji1786], hawa wazee wenzangu wenye visukari nimechoka [emoji2362]
Email nyingi, mchuano mkali, kuwa mpole nitakufikia!Soma email
🤣🤣🤣🤣baby umeona urushe kete?kwani wewe ni millennium baby?Soma email
Nimekumiss mlongo wangu umepoa sana kwema?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
🤣🤣🤣🤣Hayo ndio ma-things tunayapenda yasanuke tuburudishe rohoNa wambea tuko nginja nginja yakisanuka huko 😹
Nisimulieni basi, miss banana 🍌 ilikuwaje tena?We subiri yaje mambo ya miss banana.🤣
karibu ushangazini mshangazi [emoji1]Theresa49Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “shangazi”.
Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao, nini nijiandae nacho na kuwa makini?
Mwenye kutaka kutupa karata yake:
shangazimambo@gmail.com
(vijana wa 2000 tu) [emoji28] ukianiandikia “Hi” instead of kujitambulisha na kuniambia why unanifaa - nakublock.
REJEA [emoji116]
Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike
Hahahaha,,nazingua baby, mie kete nilisharusha kwako inatosha🤣🤣🤣🤣baby umeona urushe kete?kwani wewe ni millennium baby?
Hahahaha🤣🤣🤣🤣Hayo ndio ma-things tunayapenda yasanuke tuburudishe roho
Mmh nimepoteza imani na wewe....maana mshangazi katuma update ya email mnazimtumia ni firee😂Hahahaha,,nazingua baby, mie kete nilisharusha kwako inatosha
Hahahaha,kuwa na aman,mpz Tena aman kubwa tuMmh nimepoteza imani na wewe....maana mshangazi katuma update ya email mnazimtumia ni firee😂
Sina. Ujanja huo,wewe pekee inatosha..Tena ijumaa Leo tukale Mandi, Biriyani pale Zebra au nyama choma pale Toroka uje ?Mmh nimepoteza imani na wewe....maana mshangazi katuma update ya email mnazimtumia ni firee😂
🥰🥰🥰Aaaauuhh unajua kunituliza weweHahahaha,kuwa na aman,mpz Tena aman kubwa tu
Leo Toroka uje tuikaribishe weekend yetu safiiii😍Sina. Ujanja huo,wewe pekee inatosha..Tena ijumaa Leo tukale Mandi, Biriyani pale Zebra au nyama choma pale Toroka uje ?
Safi kabisa, tufanye hivyo mamii wanguLeo Toroka uje tuikaribishe weekend yetu safiiii😍
Hahahaha, unastahili kutulizwa na uzuri unatulia..😘🥰🥰🥰Aaaauuhh unajua kunituliza wewe