Nimekidhi vigezo kuitwa "Shangazi"

Iwapo ungekidhi vya kuitwa Bibi,je ungetupa mrejesho?
 
Itabidi ni ji upgradeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚itakuwa nimechukua cheap labour
😹😹😹 Shem T nilikuwa namuona wa maana kumbe nae katuma email yake 🀣
Na anaomba isomwe na ijibiwe kwa wakati..!!
 
Asanteni vijana wote mlioshiriki βœπŸΌπŸ™πŸ½

Kanda ya ziwa mpewe maua yenu 😍πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ asanteni kwa kijana rijali, ananipagawisha sana πŸ’¦πŸ’¦πŸ’§
 
Mohammed, wewe ni chaguo langu la pili. Hii email yako ilinilowesha sana πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦ na siwezi kuipost yote hapa watanifungia.

Ngoja nikimalizana na huyu mtoto wa Kagera, nitakuja Temeke unionyeshe kama yaliyomo yamo!
 
Shangazi umejoin jf 2011 Mimi nilikua darasa la nne lkn status yako bado inasoma. *member "
Mimi juzi tu nimejoin humu sahizi ni Senior member.
Nimekuzid cheoπŸ˜†
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto. Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako πŸ˜‚ πŸ˜† .

Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
 
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto.
Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako πŸ˜‚ πŸ˜† .
Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
Nimefurahi kujibu Tena text hiiπŸ˜‚πŸ˜‚ shangazi umepanda vyeo viwili kwa mpigoπŸ˜€ saa hii nakupigia salute.πŸ˜€
 
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto. Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako πŸ˜‚ πŸ˜† .
Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
Sema Nini turudi kule GmailπŸ˜ƒ
Mr nobby Usitukane mamba kabla haujauvuka mto. Nenda kasome status tena baada ya wiki 1 ujikumbushe kile "cheo" chako πŸ˜‚ πŸ˜† .
Mkongwe ni mkongwe tu kijana wangu wa darasa la nne 2011.
 
Shangazi ni mwanamke aliyevuka umri wa usichana kuanzia miaka 30+ ni shangazi.

Ila vijana wa kudate na mashangazi wanaharibu hiyo sio tabia njema ni mmomonyoko wa maadili, ivyo si jambo jema.
 
Shangazi ni mwanamke aliyevuka umri wa usichana kuanzia miaka 30+ ni shangazi.

Ila vijana wa kudate na mashangazi wanaharibu hiyo sio tabia njema ni mmomonyoko wa maadili, ivyo si jambo jema.
Sasa sisi mashangazi wenye wanaume wenye visukari, bao moja la sekunde 40 kwa mwezi, tuko na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…