Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

Huyu alikuwa anacheza gemu ya Nyoka, mmmmh koboko ninayomfahamu duh subutu!!!!
 
Story zako nyingi ni za kufikirika,lakini kumbuka aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea,ipo siku utakutana na Simba mikumi live.
Sio mikumi atakutana naye mtaani akitoka kwenye mizunguko
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Masikini Koboko alikosa windo!
 
Hamia mjini huko vijijini utarudi mkiletewa umeme
 
Dah....uongo mtupu huu...
Uamuzi wa kwanza wa nyoka yoyote asiyeweza kumla binadamu in kukimbia.....
Kasi ya koboko karibu 20kph....wakati kiasi ya mwanadamu anayekimbia kwa zaidi ya saa 1 ni wastani wa 9.2kph....kihisabati angekupata ndani ya dakika 15[emoji87] [emoji14] [emoji41]
 
Huyu mtoa post ni nyau sana koboko ni balaa ana Kasi gari likasome sasa utamzungusahaje muda wote huo? Akizama ndani utamjua kwa kusikia vitu vinalia tu hata akiguswa na sufuria au meza yeye anagonga tu nilisahawaua watatu maeneo ya mpanda katavi hao nyoka hawafai kwanza akiwa anapita kwenye Njia yake anavyofoka ni shida jamaa yangu alikuwa juu ya mti anakata matawi gafla koboko akawa anarudi nilimsikia anapiga kelele tu juu ya miti kwenda kumcheki kumbe ni bonge la koboko linaingia shimoni tulijikusanya watano na kuwasha Moto WA Kuni pale shimoni na kumuunguza koboko
 
Thread ya kitambo imenichekesha lakini! [emoji1]
 
[emoji13][emoji13][emoji13] kila nikisoma nacheka mbavu zinauma kuna watu wanavituko
 
Dah jf raha sana sasa hivi tupo na Zeroiq mchakata viazi
 
Ebu ngoja kwanza...Hilo joka la maonesho siku ya wafanyakazi naskia lilipotea kumbe lipo uko mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…