Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

Huyu alikuwa anacheza gemu ya Nyoka, mmmmh koboko ninayomfahamu duh subutu!!!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.

Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
Masikini Koboko alikosa windo!
 
Hamia mjini huko vijijini utarudi mkiletewa umeme
 
Dah....uongo mtupu huu...
Uamuzi wa kwanza wa nyoka yoyote asiyeweza kumla binadamu in kukimbia.....
Kasi ya koboko karibu 20kph....wakati kiasi ya mwanadamu anayekimbia kwa zaidi ya saa 1 ni wastani wa 9.2kph....kihisabati angekupata ndani ya dakika 15[emoji87] [emoji14] [emoji41]
 
Huyu mtoa post ni nyau sana koboko ni balaa ana Kasi gari likasome sasa utamzungusahaje muda wote huo? Akizama ndani utamjua kwa kusikia vitu vinalia tu hata akiguswa na sufuria au meza yeye anagonga tu nilisahawaua watatu maeneo ya mpanda katavi hao nyoka hawafai kwanza akiwa anapita kwenye Njia yake anavyofoka ni shida jamaa yangu alikuwa juu ya mti anakata matawi gafla koboko akawa anarudi nilimsikia anapiga kelele tu juu ya miti kwenda kumcheki kumbe ni bonge la koboko linaingia shimoni tulijikusanya watano na kuwasha Moto WA Kuni pale shimoni na kumuunguza koboko
 
[emoji13][emoji13][emoji13] kila nikisoma nacheka mbavu zinauma kuna watu wanavituko
 
Ebu ngoja kwanza...Hilo joka la maonesho siku ya wafanyakazi naskia lilipotea kumbe lipo uko mkuu??
 
Back
Top Bottom