Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mikumi atakutana naye mtaani akitoka kwenye mizungukoStory zako nyingi ni za kufikirika,lakini kumbuka aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea,ipo siku utakutana na Simba mikumi live.
Masikini Koboko alikosa windo!Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.
Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Koboko huwez mshinda kukimbia labda ulikuwa una kimbizwa na mjusi
Umemsahisha vizuri!Koboko hapanui kichwa huyo ni cobra.....
Koboko hapanui kichwa huyo ni cobra.....
halafu alivyokuacha wewe akaniibukia na mimi ni bala kanikimbiza siku mbili mfulilizo hapumziki nikakimbilia kwenye daladala ndo akaniacha !
Aisee nyoka hakupaa?
Tena ya darKoboko wa sabasaba kwenye maonyesho